Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Huyu mama huyu mtaani kwetu anakubalika sana tunaomba aongezewe ulinzi kwa kweli maana hizi habari sio njema kwa upande fulani
 
Kaziindelee
 

Wachumi wa inchi yetu wanaduwazwa na kila awamu hahaha
 
Kali Sana hii
 
MIMI CHADEMA ILA NAMKUBALI TU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
 
Good
 
Good
 
Only politician whom you can trust is dead man. Over 🤣😃😃😁
 
Bhana tunataka barabara za tarula , hii kazi aliyokuwa anaifanya JPM imesimama kama sio kufa kabisa, Tunataka umeme uendelee kusambazwa vijijini , tunataka tuone serikali ikidhibiti ongezeko la bei za bidhaa zinazotugusa watanzania wa chini hizi bla bla hazina sehemu zitaonekana kwenye maisha ya kawaida ya kila mtanzania.
 
Natutaduwaa sana
 
Tuchape kazi Watanzania,
 
Awesomely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…