Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Mama Samia anatisha sana
 
Heko Mama Samia
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kaziindelee Tanzania, Huyu Mama atatustaajabisha mno
 
Hilo jarida linaongelea watanzania kama watanzania au watu gani? Maana mtaani kila mtu analia gharama za maisha na mfuko wa bei mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.

Njoo Lumumba utapata buku2
 
Ulimi nje skumageng, nikuvumilia tu mukijifanya kuchakarika tutaangalia uraia wenu hapa nchini je nyinyi ni raia wa Tz
Naona umelivamia jukwaa kama hata mimi unaniita sukuma gang
 
Hiyo yote haina maana pale ambapo bei za bidhaa zote zimepanda mara dufu hali inayothibitisha kwamba mfumuko wa bei ni double digit tofauti na serikali inavyotuongopea.

Unaweza pia ukawa na akiba kubwa ya fedha za kigeni kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi inayopelekea wengi washindwe kuagiza bidhaa kutoka nje, sasa labda mtuambie kama na hilo nalo ni la kujisifia.
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania

Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
La kumshauri ni hili asiwe mkweli kwenye sanduku la kura na Tume ya uchaguzi.
Asipofuata ushauri wangu atakomea term moja ya kurithi.

Msifieni yooooote. Ila Ushauri huu aufauate. Asijaribu kujipima kupitia sauti zenu za kusifu.
Ucha Mungu aachane nao, ili awe mtawala tena. PERIOD
 
Aachane na Uchamungu avae ushetani?
 
Mbona basi tunazidi kukopa on top of Tozo??
This is one of manufactured lies n propaganda. Sorry some of us can't buy that nonsense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…