Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,450
- 5,278
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.