Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Wahi hospitali dogo.Yeye aliwatendea haki wenzie ?
Nyani haoni kundule!!
Mwaka huu hakuna uchaguzi asidanganye watu kutumia pesa zao za kutafuta vitu mbavyo havipo!!
Makalla ni shetani kuliko mashetani wote waliowahi tokea duniani na mbinguni!Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Tushike lipi sasa? Si ndiye yeye huyo aliyeagizwa wengine wakatwe?Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Yule alie nyimwa fomu iki mkwe apite bila kupingwa limekaaje?Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Wakizingatia hili CCM watashinda uchaguzi kwa kishindo hata Mwenyekiti wa Tume akiwa Heche.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Na mwenyewe Samia Suluhu ametoa maagizo vigogo wapewe upendeleo kwenye uchujaji wagombea. Kama kuna ubishi mwenyewe aseme alimaanisha nini kumuelekeza hadharani mkuu wa mkoa mpya Mbeya achunge heshima ya spika Tulia Akison. Mwenyewe Tulia amewahi kuita wananchi wasiounga mkono kubinafsishwa bandari kwa Dubai wapumbavu. Wasiwe wanafanya wananchi ndunducha.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.

Hapo sasa watujibu. ..Kwa nini huyo mwananchi anyimwe fomu?Yule alie nyimwa fomu iki mkwe apite bila kupingwa limekaaje?
Iyo itakuwa nzuri maana itamsaidia ata mpina kutendewa haki na kamati za chamaKatibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.
Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”
Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Hana uhalali wa kutamka neno HAKI kwani wameshindwa kutengeneza sheria inayozaa mifumo ya haki kwa vyama vingine! Hilo neno akalitamke kwa vitendo kwa kukubali kunadilisha sheria za uchaguziKatibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.