GE2025 Rais Samia aagiza wagombea kutendewa haki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.

Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”

Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Anaagiza haki ndani ya CCM lakini hafanyi hivyo kwa vyama vya upinzani!
 
Chama chakavu hamfiki huko mnakokutaka mpaka mfanye kile Wananchi kupitia Mungu wa nchi yetu wanasema

No reforms no election
Kilichochakaa ni akili we mbwa koko. CCM itakuwepo zaidi ya miaka 100 ijayo. OKTOBA TUNATIKI SAMIA
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.

Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”

Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Safi mama hataki dhuluma
 
W
Yeye aliwatendea haki wenzie ?

Nyani haoni kundule!!

Mwaka huu hakuna uchaguzi asidanganye watu kutumia pesa zao za kutafuta vitu mbavyo havipo!!
We ngedere subiri Oktoba TUNATIKI hakuna kima wa kuzuia uchaguzi ktk uso wa hii dunia
 
Ny
Hana uhalali wa kutamka neno HAKI kwani wameshindwa kutengeneza sheria inayozaa mifumo ya haki kwa vyama vingine! Hilo neno akalitamke kwa vitendo kwa kukubali kunadilisha sheria za uchaguzi
Nyie wahaini mtii sheria bila shuruti hamtaki mtashughulikiwa ngedere nyie
 
Samia mwenyewe alipitia dirishani mlango ukiwa wazi. Iweje ahubiri haki wakati alishindwa kutenda haki? Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza haki kutendeka katika mchakato wa ndani wa chama wa uchujaji wa wagombea.

Akizungumza na wandishi wa habari Julai 03, 2025 katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam Makalla amesema “Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi anaelekeza vikao vyote vitakavyofanya uchujaji na uteuzi viwatendee haki wagombea, tusionee watu, tusitengeneze fitna na majungu, tutende haki, tuteue watu kwa haki, haki ionekane na tusionee mtu.”

Makalla ameongeza kuwa zoezi hilo la uchujaji litaanza rasmia kuanzia kesho Julai 04, 2025 kwa ngazi ya Kata, “Kuanzia kesho tarehe, 04 vikao vya uchujaji vinaanza katika Kata zetu wataanza kukaa kamati za siasa, na kamati za siasa za Mkoa zinatarajiwa kukaa tarehe 09/07 kufanya uteuzi wa mwisho kwa wanaoomba Udiwani. Uwakilishi na Ubunge uteuzi wa mwisho utafanywa na kamati kuu tarehe 19/07 kwa maana ya wagombea watatu watatu.”
Yeye kawatendea haki wagombea wenzake ndani ya chama chake? Huyu bibi ni mnafiki hasa.
 
Back
Top Bottom