Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Unalalamika bure. Aliyemtaja ni RaisKwa namna zetu mtoto wa nyumbani Yuko juu anatuwakilisha why not. We ndo mjinga. Tena lazima uwe na chama Lakini tofauti na Alicho MKM. He is a good man. Siasa zenu chafu na midomo michafu isiwafanye mdharau watu wema wachache waliobaki taifani.
Laana ya JPM haita waacha bure stay onlineSamia alitakiwa apige CHINI wote.
Si ndugai Wala majaliwa
Mwanamke ameingiaje wakati ktk hoja yako umemtaja Rais mwengine mwanaume na aliwahi kutoa kauli kwa PM. Halafu Mhe. Rais kamdharau vipi PM kwa kusema hivyo? Acha maneno madogo madogo ndugu.Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Akimtoa na huyo ujua hatoaminika na kukubalika kabsaaaa bora afunike kombeTangu mama alipoingia madarakani hakumtaka Majaliwa ila alitulia kwa kuheshimu cheo chake cha uwaziri mkuu
samia bado,( mwanamke bado????) , alipewa Umakamu kusolicit kura za wanawake........ Sky Eclat is it true kuwa mwanamke bado kwa rais?Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Mwanamke ni mlezi mambo yakienda kombo anapaswa kusawazisha siyo kwa kuwa magufuli alimdharau na yeye amdharau.Wanaume 2021-2025 mtasaga meno.
Kuongozwa na mwanamke kunawachoma mioyo. Yaani hapo sijaelewa umetudrag wanawake wote ili iweje.
Kama Magufuli aliwahi kumdharau Kassim, na Samia naye kamdharau Kassim basi tuongozwe na wanyama maana wanawake na wanaume washafeli!
Hata Marekani wanaamini hivyo ndiyo maana yule kichaa Tramp alipata u Rais, hili linatokea sana sehemu Mabepari wana nguvu.samia bado,( mwanamke bado????) , alipewa Umakamu kusolicit kura za wanawake........ Sky Eclat is it true kuwa mwanamke bado kwa rais?
akina Kasimu naye ndio walewale jamii ya kiroboto., hakuna namna nyengine jina lake ni kasimu tu ndivyo lilivyoandikwa kwenye cheti chake.,Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Usikute mke mwenza kamshushua anamaliza hasira kwa waunganishiwa umemeWanawake wa pwani kutawala ni mistake kubwa, kama waume zao wawili awamu ya pili na ya nne wamevurunda hao kinamama wa pwani ndio wataweza?
Jana sijapenda reaction ya Samia. Kwa jazba ile, kesho anaweza kutuma watu wakuue kama wewe ni mpizani wake. Sijapenda, huyu mama ni hatari sana as long as ana majeshi ya kuua!Hata Marekani wanaamini hivyo ndiyo maana yule kichaa Tramp alipata u Rais, hili linatokea sana sehemu Mabepari wana nguvu.
Kwahiyo hayati nae ni mwanamke au ndio mmevurugwa!Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Kuna kuitwa kwa uzuri siyo kwa kuitwa kuonyeshea mfano mbaya, Hiyo ni dharau mbaya sana.Ni kawaida watu wenye rika linalofanana kuitana majina hvyo especial kama mtu kakuzidi cheo,Nyerere alikuwa anamuita rais Mwinyi "Ali",na aliendelea kumuita hvyo hata baada ya Mwinyi kuwa Rais.Mkapa alikuwa anamuita Rais Magufuli "John" refer Magufuli alivyohadithia wakati anamtembelea hospital na hata alishamuita hvyo mbele za watu.So mkishazoeana sana na mnafanya kazi wote kila cku sometimes kuna possibility ya kuweka vyeo pembeni na ubinadam ukachukua nafasi yake.
Hata kwa hayati tulisemaKwahiyo hayati nae ni mwanamke au ndio mmevurugwa!
Ila yeye kwakuwa alikuwa mwanaume alifaa si ndio?Hata kwa hayati tulisema