Rais, saa Saba na Nusu Mimi ndo napita ikulu na Ungo wa Babu, hakika nchi inaibiwa!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Rais mwenzako sifi Leo ndo napita Ikulu zote mbili yaani Magogoni, na apo DODOMA nikiwa na Ungo wa Babu ila nikwambie ukweli ndio maana nchi inaibiwa.

Inakuaje muda huu ikulu muda huu hakuna aliyekazini? Yaani kweli muda huu nchi Iko mikononi mwa baadhi ya Askari polisi?

Wacha tuibiwe.
 
Back
Top Bottom