Rais Robert Mugabe kugombea tena urais mwaka 2018

Rais Robert Mugabe kugombea tena urais mwaka 2018

You must be the biggest cow here. Go outside and eat some grass, won't you?
Before your mummy sing you a lullaby,go through this kid..Jinga veve
1471027726747.jpg
 
Hi
Nipo Zimbabwe kwa sasa lakini maisha ya wazimbabwe yamewekwa rehani. Pesa wanayotumia ni US dollar. Ukienda benki maximum you can take is 300US$ na siku nyingine unapewa 50$ maana pesa hamna. Kwa ujumla huyu mzee amewafikisha wazimbabwe pagumu. Wameishia kutorokea nje na kuwa wahudumu wa ndani. Siri ya Mungu kumweka huyu mzee kuwa na nguvu ya kutawala anaijua mwenyewe. Saa nyingine ninaona tunapokuwa na viburi (Wazimbabwe walikuwa na viburi sana zamani kama mliwahi kwenda zimbabwe maana ilikuwa kama ulaya ndogo) Mungu anaweza kuleta punishment kama ilivyokuwa Id Amin wa Uganda. Na sisi tumwombe hasije akatokea mtu kama huyo wa kutu punish kwa ajili ya viburi vyetu.

Nami najiuliza kama wewe juu ya hilo la Mungu kuendelea kumpa nguvu kiasi kumudu kuendelea kutawala.Jambo moja ambalo analo Mungu na binadamu hatukujaliwa kiasi hicho ni upendo wa kupita kiasi.Utaona hata utende dhambi vipi bado Mungu hawezi kusema "akuite kwake" bali mpaka muda wa kile alichokuletea duniani kitimie
 
You're full of shit, call your mama to come and change you nappy..
Don't forget Chapter four dummy([emoji13] [emoji13])..It's all about the Queen of England...Read it comprehensively..
 
Halafu wapo Wajinga wanaomuita Mugabe ni Simba wa Afrika..

Mazimbabwe ni majinga sana
 
Are you drank? Or high on drugs?
Drunk dummy,not drank[emoji38] [emoji38]
That book has got a little bit of everything for dummies like you.Next chapter(After the Queen of England) has got "Grammatical Errors For Dummies:Basic Knowledge".If time allows you can read it as well.
Nb:My signature isn't applicable to dummies like you.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
teh teh you must love fucking grannies! What a weird fetish you have there, boy.
hilarious, Of course you have no idea. You have no idea about anything. I bet you don't even know how to replace a light bulb.
Queen of England ,tehteh my foot.."Are you drank?"bwahahaha.."Basic Knowledge For Dummies" Volume 2,is coming soon dummy.
 
Siku ya Jumamosi chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kilitangaza kuwa, kimempitisha Rais Robert Mugabe kuwa kiongozi na mgombea wa chama hicho katika uchaguzi ujao wa Rais uliopangwa kufanyika mwaka 2018.

Hii ni katika hali ambayo, Februari mwaka ujao Rais Mugabe atafanya sherehe ya kutimiza umri wa miaka 91. Kwa muktadha huo, Mugabe anahesabiwa kuwa kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi barani Afrika.

Aidha Rais Mugabe alimtangaza rasmi mkewe kuwa kiongozi wa umoja wa wanawake wa chama tawala cha ZANU-PF.

Miongoni mwa mambo yaliyopasishwa katika mkutano mkuu wa taifa wa chama hicho tawala nchini Zimbabwe ni kubadilishwa katiba ya chama.

Rugare Gumbo, Msemaji wa ZANU-PF amesema kuwa, lengo la kufanyiwa marekebisho katiba ya chama ni kumuongezea Mugabe nguvu na mamlaka zaidi. Kupasishwa kwa uamuzi huo, kunamfanya Mugabe sasa kuwa na mamlaka ya kuwachagua manaibu wake wote pamoja na wajumbe wa ofisi ya kisiasa.

Mabadiliko hayo yanamfanya Rais Mugabe kuwa na uwezo wa kuwa na usimamizi zaidi kwa chama chake ambacho kimekuwa kikiiongoza Zimbabwe tangu mwaka 1980.

Baadhi ya wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, sababu ya marekebisho hayo ni ushindani wa ndani ya chama na wanasema kuwa, hatua ya Rais ya kupewa mamlaka ya kuchagua manaibu wake itazuia kupatikana vituo kadhaa vya nguvu.

Katika miezi ya hivi karibuni kumeripotiwa habari za kuweko ushindani mkali ndani ya chama cha ZANU-PF kwa ajili ya kumrithi Rais Mugabe, jambo ambalo limepelekea kujitokeza wasi wasi mkubwa ndani ya chama hicho tawala.

Joto la ushindani huo lilipanda kiasi cha kuteuliwa tume maalumu ya kutatua matatizo na hitilafu ndani ya chama hicho.

Source: RADIO IRAN.
Born: February 21, 1924 (age 92)
 
Na hapo bado kuna watu wanamwaona mugabe kama shujaa pekee aliyebaki Africa .yani imefika mahali anadondoka hadharani kwa uzee wake halafu hasira zake anizimalizia kwa walinzi wakee eti kwa nini hawakumdakaa
Huyu Mzee wampime akili sio bure!!
 
Huyu mzee nahisi siku anafariki sehemu nyingi sana duniani watafurahi sana.
Miaka ilivyokwenda bado anapeta tu, ana roho ngumu.
 
Siku ya Jumamosi chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kilitangaza kuwa, kimempitisha Rais Robert Mugabe kuwa kiongozi na mgombea wa chama hicho katika uchaguzi ujao wa Rais uliopangwa kufanyika mwaka 2018.

Hii ni katika hali ambayo, Februari mwaka ujao Rais Mugabe atafanya sherehe ya kutimiza umri wa miaka 91. Kwa muktadha huo, Mugabe anahesabiwa kuwa kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi barani Afrika.

Aidha Rais Mugabe alimtangaza rasmi mkewe kuwa kiongozi wa umoja wa wanawake wa chama tawala cha ZANU-PF.

Miongoni mwa mambo yaliyopasishwa katika mkutano mkuu wa taifa wa chama hicho tawala nchini Zimbabwe ni kubadilishwa katiba ya chama.

Rugare Gumbo, Msemaji wa ZANU-PF amesema kuwa, lengo la kufanyiwa marekebisho katiba ya chama ni kumuongezea Mugabe nguvu na mamlaka zaidi. Kupasishwa kwa uamuzi huo, kunamfanya Mugabe sasa kuwa na mamlaka ya kuwachagua manaibu wake wote pamoja na wajumbe wa ofisi ya kisiasa.

Mabadiliko hayo yanamfanya Rais Mugabe kuwa na uwezo wa kuwa na usimamizi zaidi kwa chama chake ambacho kimekuwa kikiiongoza Zimbabwe tangu mwaka 1980.

Baadhi ya wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, sababu ya marekebisho hayo ni ushindani wa ndani ya chama na wanasema kuwa, hatua ya Rais ya kupewa mamlaka ya kuchagua manaibu wake itazuia kupatikana vituo kadhaa vya nguvu.

Katika miezi ya hivi karibuni kumeripotiwa habari za kuweko ushindani mkali ndani ya chama cha ZANU-PF kwa ajili ya kumrithi Rais Mugabe, jambo ambalo limepelekea kujitokeza wasi wasi mkubwa ndani ya chama hicho tawala.

Joto la ushindani huo lilipanda kiasi cha kuteuliwa tume maalumu ya kutatua matatizo na hitilafu ndani ya chama hicho.

Source: RADIO IRAN.
Robert Mugabe miaka yake ni 93 sio 90
 
Back
Top Bottom