Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,118
- 1,398
Nipo Zimbabwe kwa sasa lakini maisha ya wazimbabwe yamewekwa rehani. Pesa wanayotumia ni US dollar. Ukienda benki maximum you can take is 300US$ na siku nyingine unapewa 50$ maana pesa hamna. Kwa ujumla huyu mzee amewafikisha wazimbabwe pagumu. Wameishia kutorokea nje na kuwa wahudumu wa ndani. Siri ya Mungu kumweka huyu mzee kuwa na nguvu ya kutawala anaijua mwenyewe. Saa nyingine ninaona tunapokuwa na viburi (Wazimbabwe walikuwa na viburi sana zamani kama mliwahi kwenda zimbabwe maana ilikuwa kama ulaya ndogo) Mungu anaweza kuleta punishment kama ilivyokuwa Id Amin wa Uganda. Na sisi tumwombe hasije akatokea mtu kama huyo wa kutu punish kwa ajili ya viburi vyetu.