Rais Rais Rais...... Membe bhana

Rais Rais Rais...... Membe bhana

...kati ya waCCM wasiyo kuwa na uwezo wa kuongoza nchi' Membe ni mmoja wapo.
Pia Membe ana upeo mdogo wa kuelewa mambo na kuimili vishindo vya maCCM wenzake wajanja, mafisadi, wezi wa mali za umma na wala rushwa.

Uozo wake Membe:


Kwanza alete zile pesa alizohongwa yeye na Kikwete walizopewa na Gadafi zilikuwa za nini na wamezilipeleka wapi?



Pia fedha za Rada, yeye na Kikwete wamo! Na chenji ziko wapi? Alitudanganya kuwa atakufa nazo, vipi mbona Kimya? baada ya kuzitia kibindoni yeye na Kikwete!

"Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni?


*Siasa zake za OIC, na Misikitini huko Lindi, ya kuwanunua mashekh ili wampigie makofi, eti ili wamsema vizuri!


Fedha za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi?
Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga?


"Kwa ujumla Membe hata nafasi ya Uwaziri Mkuu hafai..."

"na muda si mrefu kuna kashfa nzito ina mhusu' huyu bw. Membe, kwa kusababisha uzembe mkubwa ambao utasababisha serikali kupata hasara kubwa! Na hii ndiyo itakuwa pigo lake lake mwisho"

Wacha chuki bhana kwa mh Membe, mbona viwanda vya cement vimejengwa tayari,1:kipi kilwa, 2:kipo lindi mjini ndio kinaishia kujengwa.Au unamchukia kwa sababu anaipenda Yanga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom