Rais punguza safari, jikite kujenga nchi

Lorenzo Samike

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
1,184
Reaction score
1,914
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
 
mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...
 
Magufuli alikua hasafiri kwa sababu alikua mgonjwa.
 
Cc mrangi
 
mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...

Wahuni mno hawa!
 
Nilivyomuona anazindua kitabu UK na kukutana na Mange US ndo nilijua tumepigwa kabisaaa,Hii nchi ngumu sana aisee 🤣 🤣 🙌 🙌
 
Huyo magufuli wenu kwakuwa alikuwa hasafiri,mnataka na Samia asisafiri kutafuta fursa kwa wananchi wake
 
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.

Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
 
mama anafungua nchi....hahahaaha.

yule jamaa kuna watu wanasema hakukuwa na demokrasia alikuwa mnyama mara hasafiri kajifungia tu, lakini watu wale wale leo wanasema nchi ina deni kubwa jamaa alikopa sana....sasa sijui wazungu walimkopeshaje mtu asiyefuata demokrasia wala haki za binadamu na wala hatembei kwenda kuomba misaada...
Wazungu waliomkopesha Magufuli ni mabenk ya kibishara yenyewe hayaangalii mambo ya demokrasia Bali faida watakayoipata.

Wanao toa grant ndio wanaangalia maswala ya democrasia.
 
Huyo magufuli wenu kwakuwa alikuwa hasafiri,mnataka na Samia asisafiri kutafuta fursa za kiinchi na wananchi
Fursa gani hiyo? Kujadili joto angani inatusaidia nini sisi kama nchi? Unajua ni pesa kiasi gani inatumika kwenye hizo safari?

Watu wanataka ajira, kazi, miundombinu, chakula mezani, food security, maji, umeme, mishahara bora.

Hii nchi bado masikini na duni, inahitaji Kiongozi wa kupush mambo on the ground.... sio kukimbia kimbia hovyo Ulaya.

Wazungu sio watu mnaopimika nao kwenye mizani moja.

Wanayoyajadili wao hayaweza kukaa kwenye mizani ya mahitaji ya TANZANIA.

Acheni kumdanganya Chief Hangaya MTAMPOTEZA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom