Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Mkuu,hata madini yaliyo tumika kuunda mabom ya Nuklia yaliyo dondoshwa Hiroshima na Nagasaki in 1945 yalichimbwa DRC Congo na kusafirishwa kwenda nchini Merikani.Ni aibu kwa taifa kubwa kama Congo kuonewa na nchi kama Rwanda, Congo ilitakiwa iwe kama Russia maana ina Madini ya kutisha kutengeneza silaha
Ukosefu wa amani ya kudumu nchini DRC Congo inachochewa na Mataifa ya magharibi,actually tangu kuuwawa kikatiri Patrice Lumumba in early 1960s baada ya Congo kupata uhuru kutoka ukoloni wa Kibeligigi Taifa hilo halija wahi kupata amani ya kudumu!!
Watawala wa Kiafrika wanao wafadhili na kuwapa mafunzo ya kijeshi M23, nao vile vile ni mawakala wa nchi za magharibi - we jaribu kufatilia nyenendo za viongozi hao wa Kiafrica utakuja kubaini kwamba nao wako karibu sana na watawala wa nchi za magharibi - western Nation/leaders wako interested in exploiting vast natural resources nchini Congo,inasemekana Congo vile vile ina dalili kubwa ya upatikanaji wa mafuta kwenye msitu wa Virunga, kama hiyo ni kweli, basi hiyo ndio itachochea balaa zaidi ndani ya Congo.