rais obama

BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
574
222
mwenye kujua muda ambao rais obama atahutubia anijuze maana nataka kumsikiliza na itakuwa cnn au msnbc?samahani kwa usumbufu wakuu
 
Muda Gani kiongozi Ngabu,, unaweza kuweka link kama vipi tulio mbali tukaaangalia online?
 
mwenye kujua muda ambao rais obama atahutubia anijuze maana nataka kumsikiliza na itakuwa cnn au msnbc?samahani kwa usumbufu wakuu

10:10 pm eastern time kama upo US.

Tizama cnn ama msnbc.Kuna moja inaitwa "fix news",hiyo haina mpango wala nini,ni ya mahaters almost on anything about the guy.However unaweza kuitizama,ila I don't recommend it.
 
muda gani hapa bongo mkuu?
 
Mkuu ni Saa 11 alfajiri, CNN na ABC wataonyesha live, Pia unweza kuingia online nakuiona live (sijui website ila niliambiwa)
 
asanteni sana wakuu,kumbe ntawahi,gnt na samahani sana kwa usumbufu wakuu
 
hivi huyo Obama kawalisha nini Watanzania...sikilizeni pumba za M.kwere ili next tume kura zenu ziende kipande ile ya pili
 
Back
Top Bottom