Rais Obama Kalia, Kadhalilisha Waamerika

Rais Obama Kalia, Kadhalilisha Waamerika

Wanasaikolojia wanasema,mwanaume ambaye hububujikwa machozi kwa jambo la kusikitisha sana kama kifo cha ndugu au jamaa, probably ni very strong man na asielia hua probably hajiamini na ni weak

Probably sikubaliani na wewe
 
kibo 10 what we see depends on what we are looking for,kama wewe umeona ivyo ni mtazamo wako,lakini kwa mtazamo mwingine ni hisia kali zisizoweza kuzuilika....hata kama ungekuwa ww ungetokwa na machozi.
 
Kitendo cha rais Obama kulia na Marekani ni taifa kubwa na lenye nguvu diniani ni Kitendo cha aibu sana.Kawazalilisha wamarekani na kaonyesha ni mtu dhaifu kama mwanamke.Sasa ukiangalia sioni cha maana kilichomliza jamaa.Na ingelikuwa ni taifa kama japani angepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza.
Watu wanakufa huko sriya na maeneo mengine.hakuwahi kulia leo eti anatoa hotuba ya udhibiti wa slaha chozi kibao ka demu.Yule mzee nimemdharau sana
Kwanini useme Amelia kama mwanamke? Huu ni udhalilishaji kwa wanawake. Kwani wanaume huwa hawalii au ni kosa kwa wanaume kulia?
 
Hata Yesu mwana wa Mungu alilia msalabani............."..eloi eloi lama sabakhthani"............."Mungu wangu Mungu wangu, kwanini umeniacha?"...hata mtakatifu Petero alilia.......eti dhaifu kama mwanamke?,.........watanzania mlio wengi nyie WAPUMBAVU SANA..........haya msije mkayasema mbele ya walio na akili zao.......yaani bado mpo karne ya pili hivi,enzi za kufananisha kilio na udhaifu....shenzi types!
Mmenikasirisha sana , na kwa kweli ni nyie mnatia aibu kwa mawazo kama haya ,wala sio Obama.
 
Jamaa ni Punga huyo kitamboo ndo mana analilia hovyo hovyo tu
 
Na ndio maana kamwe hawezi kumpiga russia maybe aje nyang°au trump
 
Ukiambiwa kuithibitisha hiyo habari ya u punga utaweza mkuu?.
Ndio ni nani anaongoza kwa kuwawekea vikwazo nchi zisizounga mkono vitendo vya kishoga? Sio yy na mapunga wenzake? Kwanini unafikiri George W. Bush hakuwahi kufikiriwa ni Punga mkuu ?
 
Obama is a common thief and a buffoon. Period!!!
Can't stop asking myself why the Americans voted for this clown..

No president in America will ever temper with The Second Amendment...Not even the Supreme court.
"Temper with the Second Amendment", how is he tempering with the second amendment.
 
Kaua watu kibao duniani wasio na hatia kwa kutumia drones, hana maana huyu

huyu jaluo na G. bush walitakiwa wauwawe kabisa...hawafai hata kidogo! tazama Iraq, syria, afghanistan, yemen, libya,nk wamepoteza watu wengi mnoo..na bado anaendelea kuuwa!
 
Kitendo cha rais Obama kulia na Marekani ni taifa kubwa na lenye nguvu diniani ni Kitendo cha aibu sana.Kawazalilisha wamarekani na kaonyesha ni mtu dhaifu kama mwanamke.Sasa ukiangalia sioni cha maana kilichomliza jamaa.Na ingelikuwa ni taifa kama japani angepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza.
Watu wanakufa huko sriya na maeneo mengine.hakuwahi kulia leo eti anatoa hotuba ya udhibiti wa slaha chozi kibao ka demu.Yule mzee nimemdharau sana
US VS ARAB LEAGUE.Siasa za misikitini.Reserving my comment at the moment
 
Kwanza omba radhi kwa kuwadhalilisha wanawake kwa kuwaita dhaifu.

Pili ile issue ya silaha ni chamgamoto kubwa sana kwa sasa marekani! Obama anawaza anawaacha vipi wamarekani wausi ambao kila kukicha wanauliwa! Tena mauaji yameongezeka kipindi cha utawala wake. Imagine ashinde mtu kama Trump, weusi wataishije!? Anapeleka mswaada walau iwepo sheria kuwaokoa ndugu zake, wazungu (wanasiasa) wanamanipulate kwa wananchi!! He is a human being, lazma alipata emotion, hata kama anaongoza taifa kubwa.
 
Mkuu sio swala la kudharirisha,ndivyo ilivyo wanawake ni dhaifu na ndio wanaolia mala kwa mala kwani ww ni mgeni hapa duniani...alafu unaonekana mbaguzi sana, kinachomuumiza obama si watu weusi bali ni wamarekani wote...na matikio mengi ya silaha wengi wanaokufa ni weupe...
 
Kitendo cha rais Obama kulia na Marekani ni taifa kubwa na lenye nguvu diniani ni Kitendo cha aibu sana.Kawazalilisha wamarekani na kaonyesha ni mtu dhaifu kama mwanamke.Sasa ukiangalia sioni cha maana kilichomliza jamaa.Na ingelikuwa ni taifa kama japani angepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza.
Watu wanakufa huko sriya na maeneo mengine.hakuwahi kulia leo eti anatoa hotuba ya udhibiti wa slaha chozi kibao ka demu.Yule mzee nimemdharau sana

Huu ni upuuzi wa Hali Juu... Kuhusisha kulia/kutoa machozi, udhaifu na kuwa mwanamke.
 
Kwanza omba radhi kwa kuwadhalilisha wanawake kwa kuwaita dhaifu.

Obama anawaza anawaacha vipi wamarekani wausi ambao kila kukicha wanauliwa! Tena mauaji yameongezeka kipindi cha utawala wake. Imagine ashinde mtu kama Trump, weusi wataishije!? Anapeleka mswaada walau iwepo sheria kuwaokoa ndugu zake, wazungu (wanasiasa) wanamanipulate kwa wananchi!! He is a human being, lazma alipata emotion, hata kama anaongoza taifa kubwa.

middle east kila siku watu wanauawa mbona hakutoa machozi, today eti watu wanauwana marekani anatoa machozi! tumuelewe vipi huyu mtu...nimetoka kumchukia sana
 
Back
Top Bottom