Rais Obama Kalia, Kadhalilisha Waamerika

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Kitendo cha rais Obama kulia na Marekani ni taifa kubwa na lenye nguvu diniani ni Kitendo cha aibu sana.Kawazalilisha wamarekani na kaonyesha ni mtu dhaifu kama mwanamke.Sasa ukiangalia sioni cha maana kilichomliza jamaa.Na ingelikuwa ni taifa kama japani angepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza.
Watu wanakufa huko sriya na maeneo mengine.hakuwahi kulia leo eti anatoa hotuba ya udhibiti wa slaha chozi kibao ka demu.Yule mzee nimemdharau sana
 
Aiseee, niliona hii jana tena LAIVU BBC, a very powerful man on earth is shedding years kweupeee bila hata kupigwa kofi, kwa kweli nilimshangaa sana, haijalishi how emotional the issue was, ila kutoa michozi tena inabubujika usoni ni bonge la aibu kwa taifa kama Marekani.
 
Kitendo cha rais Obama kulia na Marekani ni taifa kubwa na lenye nguvu diniani ni Kitendo cha aibu sana.Kawazalilisha wamarekani na kaonyesha ni mtu dhaifu kama mwanamke.Sasa ukiangalia sioni cha maana kilichomliza jamaa.Na ingelikuwa ni taifa kama japani angepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza.
Watu wanakufa huko sriya na maeneo mengine.hakuwahi kulia leo eti anatoa hotuba ya udhibiti wa slaha chozi kibao ka demu.Yule mzee nimemdharau sana

Kutokwa na machozi na kulia ni vitu viwili tofaouti ingawa kulia kunafuatiwa na machozi.
 
Nyinyi ndio Madame wenu wakilia mnawasamehe hata kama kagongwa!unaamin mtu akitoa machozi anamaanisha!!!!
 
Kitendo cha rais Obama kulia na Marekani ni taifa kubwa na lenye nguvu diniani ni Kitendo cha aibu sana.Kawazalilisha wamarekani na kaonyesha ni mtu dhaifu kama mwanamke.Sasa ukiangalia sioni cha maana kilichomliza jamaa.Na ingelikuwa ni taifa kama japani angepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza.
Watu wanakufa huko sriya na maeneo mengine.hakuwahi kulia leo eti anatoa hotuba ya udhibiti wa slaha chozi kibao ka demu.Yule mzee nimemdharau sana
sio mara ya kwanza!
 
Na yeye ni binadam kama wengine na ana hisia kama wengine urais wa marekani ni cheo tu
 
Zuga ile, wafiwa wenyewe wamezunguka podium hata kichwa hawajatingisha.
Wizi mtupu
 
Katuaibisha sana wamarekani

Mpaka naona aibu kua mmarekani hapa mtaani
 
Wanasaikolojia wanasema,mwanaume ambaye hububujikwa machozi kwa jambo la kusikitisha sana kama kifo cha ndugu au jamaa, probably ni very strong man na asielia hua probably hajiamini na ni weak
Hamna lolote, angeluwa Mugabe katoa machozi basi CNN na BBC wangetengeneza parody ya kumchamba!
Katoa michozi na kachemka, simpo! Dume ukishindwa kuzuia hisia zako basi ni kituko! Achana na zile hisia za yale mambo ya kikubwa, naongelea hivi vihisia vya kulia lia.
 
Na haya mabom ya nuclia ya north korea , si atakuwa analia kila siku
 
Obama is a common thief and a buffoon. Period!!!
Can't stop asking myself why the Americans voted for this clown..

No president in America will ever temper with The Second Amendment...Not even the Supreme court.
 
Last edited:
Back
Top Bottom