Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,607
- 867,660
Mwaka jana rais alitoa tamko/amri ya kuondoa tinted kwenye magari yote, hili lilipaswa kufanyika ndani ya siku 90 yaani miezi mitatu tangu Siku aliyotamka
Pamoja na mambo mengine yote lakini hili lilichagizwa na ishu ya ugaidi, na pia hatua kama hizo zilikokuwa zimeanza kuchukuliwa kwa mafanikio na mataifa mengine kama India na Rwanda, wao walitoa amri na majeshi yao yanayosimamia utekelezaji yakafanya kazi yao kwa weledi na ufanisi na bila maswali
Muda wa siku 90 ukapita hakuna utekelezaji uliofanyika!!! Hii ni aibu kwa rais
Mwaka huu mwezi uliopita jeshi LA polisi nao wakaja na tamko kama lile la rais lakini la kwao likiwa na tofauti, la kwao lilitaka wamiliki kuondoa tinted kwenye vioo vya milango ya mbele tuu, huu ukawa mkanyanyiko mwingine, matamko mawili yanayotofautiana, raid kasema hivi jeshi linasema hivi
Hakukuwa na haja ya kurudia tamko lile,Jeshi la polisi lilitakiwa tu kufanya utekelezaji sasa wa tamko rais lakini kukosekana kwa mawasiliano ndio kukaleta haya yote. Hill tungeweza kulimezea kama hatua stahiki zingechukuliwa lakini huu ni mwezi wa pili sasa unaingia tamko/katazo la jeshi la polisi nalo ni kama limezikwa kwenye makaburi ya sahau
Nabaki najiuliza udhaifu wa rais umelikumba mpaka jeshi letu????