salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 654
Umefika lakini sidhani kama kuna hatua zozote zitachukuliwa ni heri wakarudi tu kutuambia kuwa yale matamko yao yamebatilishwa kuliko kuendelea kukaa kimya, tutafanya tafsiri zetu wenyewe
Walikuwa tu wamefungua duka jipya; wanaendelea kula