Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

Dk. Mwinyi haendeshwi na mtu, au mstaafu yeyote, na alikuwa akimkubali sana The late JPM aka Mwamba.

Dk. Mwinyi hata alivyofanya uteuzi wa baraza lake au Wakuu wa Mikoa hajawahi kuwabadilisha ndani ya masaa 3 baada ya uteuzi, haelekezwi na mtu, anajisimamia mwenyewe na anawajua vizuri watu anaowateua. Hana akili za kushikiwa.
Anateua watu na kuwabadilisha ndani ya mwezi huo huo
 
Dk. Mwinyi haendeshwi na mtu, au mstaafu yeyote, na alikuwa akimkubali sana The late JPM aka Mwamba.

Dk. Mwinyi hata alivyofanya uteuzi wa baraza lake au Wakuu wa Mikoa hajawahi kuwabadilisha ndani ya masaa 3 baada ya uteuzi, haelekezwi na mtu, anajisimamia mwenyewe na anawajua vizuri watu anaowateua. Hana akili za kushikiwa.
Acha uzushi wewe kazi kusifia sifia tu .. huyo dr wako ni garasa tu hana anachokijua zaidi ya kiburi .
 
Hivi Katiba yao inasemaje kama Corona ikimfyeka na yeye Makamu wa Kwanza ndiye anachukua kijiti? Huwezi jua mipango ya Mungu kwani huku Tanganyika tulijua kama ukombozi utakuja bila kumwaga damu?
Vyeti feki mnamchukia JPM hahaha! Majipu nyie, wadokozi. Sasa hakuna cha bure, mirija yenu yote JPM kakatilia mbali. Yaani kafariki ila bado anawatesa. Huyo ndiye JPM mwenyewe sasa poleni lakini!!
 
Vyeti feki mnamchukia JPM hahaha! Majipu nyie, wadokozi. Sasa hakuna cha bure, mirija yenu yote JPM kakatilia mbali. Yaani kafariki ila bado anawatesa. Huyo ndiye JPM mwenyewe sasa poleni lakini!!
Umeandika kama Jiwe mwenyewe, maana siyo kwa akili hizi (chizi).
 
Hilo taifa lina hasara sana, yaani mtu kama Jiwe eti akawa Rais wa nchi, hiki kituko inabidi kiingie kwenye maajabu ya dunia.
 
Hakuna Rais hapo kama kijimbo kidogo tu pale Zanzibar kimemshinda kuleta maendeleo chanya ataweza nchi.
 
Hakunywa sharubati ya pilipili, havai barakoa, hajachanjwa, ni daktari wa binadamu kitaaluma
 
Back
Top Bottom