Rais Mwinyi yeye kazi tu, hakuna mibarakoa

Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.View attachment 1791041
Wasukuma inabidi muanzishiwe dozi ya presha mapema, lasivyo mtapasua mishipa ya damu kwenye kichwa,

Maana chuki zenu kwa mama zinamaliza afya zenu, na SAMIA ndio Rais hadi #2040___ kufeni kabisa
 
Tanzania ni nchi ya raia zaidi ya milioni 60 na Rais wake anayelinda maslahi kuntu ya NCHI hiyo anaitwa mh.SAMIA SULUHU HASSAN.....
 
IMG_20210409_124215.jpg
TTBCCA.jpg
 
Angekaa kimya badala ya kusema "mnataka aende Kariakoo"!! Amejishushia heshima na wananchi wengi hawamuamini tena na hata mwenyewe hana confidence tena; yuko yuko tu!
Hayo ni maoni ya wananchi wa Jamhuri ya JF. Wenye maarifa wanafahamu alikuwa amesema kwa mantiki gani ? Wengi tulielewa baada ya tamko la kifo cha Mwendazake. .
 
Back
Top Bottom