Rais Mwinyi azindua uwanja mpya wa Amaan Complex

Rais Mwinyi azindua uwanja mpya wa Amaan Complex

Kuna mtu nae anatumia yale "mafeni" hapo kama aliyokua anatumia dikteta.

It's alarming..
 
Safi sana Hussein Mwinyi unapiga kazi na inaonekana hata kama watu watasema Kuna ufisadi ila hatujali maana hapo Zanzibar wamepita maraisi wengi kutwa kula pesa ya umma na hakuna kinachofanyika hata huyu wa huku kwetu watu wanajipigia tu na kujaza matumbo Yao na hatuoni lolote muhimu linalofanyika.
 
Sijui kwanini sisi ni maskini - Jakaya Mirisho.
 
Sijui kwanini sisi ni maskini - Jakaya Mirisho.
Kikwete hapaswi kuuliza hilo swali kwani umaskini wa nchi ni directly proportional na mali wanazoiba viongozi na kupeleka kuzificha huko nje ya Nchi!! Hivyo yeye kwa miaka kumi ya URAIS wake amechangia kuongeza unmasking wa Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom