Rais Museveni hachoshi kumsikiliza

Ningezaliwa Kama ulivyozaliwa wewe Basi nisingepata hizo taarifa, u sound so fake and failure..mm sio taka taka za sampuli yako! Fuatilia nyuzi zangu, nyauba we!
Wewe ulizaliwa kile kipindi vidume wanapanga foleni kwa mother wako ndo maana unatumia jina la ujombani kama sir name, maana baba hajulikani. Bahati nzuri kipindi hicho magonjwa kama ukimwi yalikuwa bado hayajashamili.
 
Akianza kuongea Museveni akija Bongo,mimi huwa naandika chini.Na naona anapenda sana mambo ya wealth creation na amemsoma Adam Smith.
Sipati picha wanafunzi wake ushirika Moshi walikua wanakula nondo tamu kiasi gani.
 
At 26 in 1969 Colonel Muammar Ghadafi anapindua Serikal ya Libya na kuwa Rais ,

At 28 Dr Hassy Kitine tayari ni waziri, Hayati Mzee Mungai chini ya Umri wako tayari Waziri, Luteni Kanali mstaafu Afande Jakaya Kikwete at 28 tayar ni Mwandishi wa Minutes za vikao vya Kijeshi kati ya Amiri Jeshi na ma Generali lakin wote hawakuwa wakijisifu

wewe 28 unajiona zaid ya Christopher Columbus kwa ki comment chako cha aya moja na kuanza kutudhalilisha Wakubwa zako
Umesahau Salim A.Salimu at 22 ni Balozi wakuaminiwa kuiwakilisha nchi.Huyu kijana ametutukana lakini pia ameonyesha ubongo usioshiba maarifa
 
Huwa nacheka sana hata Polepole naye huwa anajiita ni mdogo sana, ila ukiangalia sura yake unasikia hata kinyaa akijifanya mdogo. Nikishaona tu mtu anajifanya yeye bado ni mdogo huwa nachoka kabisa.
Mi nadhani tz Kuna shida mahali hivi. Mara nyingi nimesikia mtu wa 25 yrs and above anajiona Bado mdogo. Hata issue za maendeleo anajifananisha na huo umri wakati mataifa mengine umri huo mtu huwa amepevuka mno na tayari anakuwa Ni role model kwa nchi Ila sisi huku tunasema Bado mtoto mdogo
 
He's a Historian, Philosopher King, Economist, Educator, Articulator, really Pan African and an Intellectual ( Rational Thinker ). He's one of my favorite modern African Leader together with the people like President Paul Kagame of Rwanda, Late Mwalimu Nyerere ( Tanzania ), Late Patrice Lumumba ( DRC formerly Zaire ), Late Samora Machel ( Mozambique ), Late Nelson Mandela ( South Africa ), Late Kwame Nkurumah ( Ghana ), Late Robert Mugabe ( Zimbabwe ) and Kenneth Kaunda ( Zambia ) To my opinion His Excellence President Yoweri Kaguta Museveni deserves the Title of Father of all African Nations. I mostly admire him and I wish him all the best in his Presidency.
To sideline Tom Sankara, you have not done a neediful to your post readers.
 
Ukikutana na mtu awe jinsia ke / me halafu anajiita majina, cute,beautiful, handsome mara nyingi wanakuwaga wabaya kweli
Angalau hata mwanamke, sasa akiwa mwanaume tena anajiita super handsome huyu ndo anatia wasi wasi sana sio tu kwa muonekano wake, bali kwa vitu vingine pia
 
umeanza kama unaandika points hivi mwisho umemalizia na mavi mavi hivi.
28yrs ni umri wa demu wangu.
Halafu jina lako lina fanana na shombo zako

Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
[/QUOTE
 
Hapo mwishoni ndio umeharibu. ”imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini hilo.” hapo ndio umeua point yako yote pale juu,umedhihirisha uwezo wako ulivyo chini. Kwa mtazamo wako 28 ni mtoto wewe?. Inaonekana hata hiyo point ya juu umeibia sehemu
 
Vijana bana, kwa hiyo 28yrs unajiona mdogo na unaona hicho unachohisi unakifahamu kilitakiwa kujulikana kwa walio above 28yrs!?
Kwenye huu mstari wa chini ndipo nilipoujulia uwezo wake. Nimemsoma vizuri juu kule,hata ile point juu kule inaonyesha ameibia sehemu. Nimemporomosha ghafla uwezo wake wa kufikiri
 
Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Ila hapa umelonga pure truth ,loud and clear
 
Nitakua nimekurithi we we dingilai!
Huwezi ukanirithi mimi coz wee utakuwa huna akili kuliko hio mijitu mizima uliyoiponda. Asa unakuwaje na akili kama jambo limetokea kinyume na ulichodhani. Ndo ujue wee unapoishia kifikiri wenzio wanaanzia hapo ulipoishia wewe..!
 
Back
Top Bottom