Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,468
Mbona umepanic jipu?Vijana bana, kwa hiyo 28yrs unajiona mdogo na unaona hicho unachohisi unakifahamu kilitakiwa kujulikana kwa walio above 28yrs!?
Mbona umepanic jipu?Vijana bana, kwa hiyo 28yrs unajiona mdogo na unaona hicho unachohisi unakifahamu kilitakiwa kujulikana kwa walio above 28yrs!?
Polepole ni lishe ya utotoni haikuwa nzuri sana, sura ngumu sanaHuwa nacheka sana hata Polepole naye huwa anajiita ni mdogo sana, ila ukiangalia sura yake unasikia hata kinyaa akijifanya mdogo. Nikishaona tu mtu anajifanya yeye bado ni mdogo huwa nachoka kabisa.
Kenge, si unge unga unga na wewe Kama Ni rahisi!Kwahyo hapo unajiona una bonge la IQ..hadi wote humu unatuona mafala..ni kipi ulichoongea cha maana hapo
Kama sio kuungaunga habar ulizozipata humu humu tu
Sawa umebaini upo very smart, so what?Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Idiot, product of a broken rubber, (huyu jamaa alizaliwa baada ya kondomu kupasuka)Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Am a thinker, better than u idiot! Information is power of all the critics hakuna aliyehoji hizi taarifa chanzo Ni wapi we Ni mjinga Kama hao wenzio!Sawa umebaini upo very smart, so what?
Ningezaliwa Kama ulivyozaliwa wewe Basi nisingepata hizo taarifa, u sound so fake and failure..mm sio taka taka za sampuli yako! Fuatilia nyuzi zangu, nyauba we!Idiot, product of a broken rubber, (huyu jamaa alizaliwa baada ya kondomu kupasuka)
Wewe mdogo sana .. endelea kujitutumua nyuma ya keyboard.Am a thinker, better than u idiot! Information is power of all the critics hakuna aliyehoji hizi taarifa chanzo Ni wapi we Ni mjinga Kama hao wenzio!
Yeye aliyekaa miaka 40 na sisi tunaobadilisha marais kila baada ya miaka 10 kuna tofauti yoyote ya kiuchumi, kisiasa na kijamii?Vipi kuhusu kukaa kwake madarakani kwa miaka 40,amekufundisha nini hapo
you are on the right path. Keep going.Sijitutumui..pitisha pua zako pale EAC Secretariat Kama hata utaingiza kwato zako..
Ongezea hapo at 26 Salim Ahmed Salim was the youngest ambassador! Kwa umri wangu, kazi nazofanya kwaajili ya huduma ya nchi hii na ww mzee mpumbavu havilingani!
Vipi kuhusu Bobi Wine?Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
Unaweza kuwa smart kwelikweli, lakini epuka kitu kimoja kibaya sana.Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Tujenge lakini lakini elimu kuhusu nani atanunua lazima uwe nayo kabla. Kipato cha wananchi lazima kiwe kikubwa, wananchi lazima wawe wanakopesheka, viwango vya riba za mabenki visizidi 12%, wasio na kazi wawezeshwe uwezo wa kununua, gharama za umeme Kwa unit iwe ndogo Sana, usafiri iwe huduma sio biashara. Hapo hujajifunza kitu mwenzangu?..ana ushauri gani kwa Tz?
..kuwa tusijenge viwanda vingi?
Uchumi wetu ni mkubwa sana kulinganisha na Uganda,tatizo hamsafiri,kila siku unawahi siti jfYeye aliyekaa miaka 40 na sisi tunaobadilisha marais kila baada ya miaka 10 kuna tofauti yoyote ya kiuchumi, kisiasa na kijamii?
Sisi tunao mzigo wa kugharamia marais wastaafu Mwinyi, mkapa, kikwete, Karume, Salmini, nk
Umetumia kipimio gani kuja na hoja hii? Democrasia? Afya? Hali Bora ya maisha? Per capita income? GDP? Kiwango cha elimu? Life expectancy? FIFA ranking, au nini?Uchumi wetu ni mkubwa sana kulinganisha na Uganda,tatizo hamsafiri,kila siku unawahi siti jf
Kila kitu tumewazidi labda kwenye kusugua visimi wanaongozaUmetumia kipimio gani kuja na hoja hii? Democrasia? Afya? Hali Bora ya maisha? Per capita income? GDP? Kiwango cha elimu? Life expectancy? FIFA ranking, au nini?
Hatuna cha kujifunza kwa dikteta mbaka demokrasia.Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
Hahah anajiona super 'jiniasi'.Kwahyo hapo unajiona una bonge la IQ..hadi wote humu unatuona mafala..ni kipi ulichoongea cha maana hapo
Kama sio kuungaunga habar ulizozipata humu humu tu