LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,770 Reaction score 9,938 Oct 23, 2017 #21 Na Dhani lengo la WHO limetimia... kumpa stress za uzeeni.! Mugabe alipaswa aikatae tuzo pale pale... ila paah.. 'cha kike' Haiwezekani hao Wazungu wampende kiivyo, Rais mzee, tena dikteta, kafukuza wazungu, na anatawala maisha wakati sio mfalme
Na Dhani lengo la WHO limetimia... kumpa stress za uzeeni.! Mugabe alipaswa aikatae tuzo pale pale... ila paah.. 'cha kike' Haiwezekani hao Wazungu wampende kiivyo, Rais mzee, tena dikteta, kafukuza wazungu, na anatawala maisha wakati sio mfalme
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,207 Reaction score 7,364 Oct 23, 2017 #22 Wa mgawie Mugabe wa Askofu wa Zenji
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,963 Oct 23, 2017 #23 warda masoud said: amejichokea xana Click to expand... Yaani, kweli mamitto.
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,060 Reaction score 45,221 Oct 23, 2017 Thread starter #24 kilambimkwidu said: Wa mgawie Mugabe wa Askofu wa Zenji Click to expand... Fafanua mkuu
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Oct 23, 2017 #25 Alifukuza wazungu___naye kimemkuta Hiyo nafasi wanatakiwa watu walioneemesha Raia wake kama vile GADAFI or KAGAME Mleta uzi Thank u so Much kwa taarifa!!!!
Alifukuza wazungu___naye kimemkuta Hiyo nafasi wanatakiwa watu walioneemesha Raia wake kama vile GADAFI or KAGAME Mleta uzi Thank u so Much kwa taarifa!!!!