Rais mugabe atumbuliwa

Rais mugabe atumbuliwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,058
Reaction score
45,219
Aman iwe nanyi wapenda katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Baada ya rais robert mgabe kupewa cheo kipya katika shirika la afya dunian ametumbuliwa rasim leo baada ya kudumu kwenye kazi yake hiyo kwa masaa 32 tu

Mkuu wa kitengo cha mgabe ameamua kutumbua jipu hilo baada ya kupokea shutuma lukuk kutoka kila pande za dunia zikidai bwana mgabe hafai kukaa kwenye nafas hiyo kwakuwa zimbabwe huduma za afya zimekuwa dun sana chin ya uongoz huu wa bwana mgabe


NANYUPU
 
Honestly mim nmeona kama wamemfanyia udhalilishaj hawa wazungu, They knew from first place madhaifu yake yet wakamnominate then later watu baada ya kuongea wnajifanya kubadil maamuz pumbafu sana hawa WHO
 
Afadhali. Wamuache huyu mzee aondoke kwa amani.
 
Nani kakushobokea, nimekuelewesha habari hii imetolewa tangu juzi..wewe umefanya kuirepost..
Kujifanya wewe ni mtoto wa panya wakati mimi ni mtoto wa paka mda si mrefu utakuwa kitoweo
 
Honestly mim nmeona kama wamemfanyia udhalilishaj hawa wazungu, They knew from first place madhaifu yake yet wakamnominate then later watu baada ya kuongea wnajifanya kubadil maamuz pumbafu sana hawa WHO
Walitaka wamuvue nguo wamuache uchi wasepe zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom