Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,780
.
..halafu huyu mzee aache kuzungumzia habari za wachawi na kurogana.
Unajua niliposikia anazungumzia uchawi nikajisemea mwenyewe 'huyu atakuwa anaamini huo upuuzi'.
Oh well...mi namwona ni mjinga mjinga.