Rais Mteule, Magufuli aanza kutema ''cheche'' ndani ya CCM.

Rais Mteule, Magufuli aanza kutema ''cheche'' ndani ya CCM.

Kwa haya anakazi kushinda awamu ya pili.
Angeweza kufanya huo ubabe enzi za chama chama kimoja. Lakini sasa hivi hao "wanafiki" wanapa kukimbilia.
Wata frustrate ata hiyo miaka mitano atamaliza kwa shida.

Hajui diplomacy.....
 
Watanzania ni wepesi mno wa kuingizwa mkenge na lip service.

Jiulize, miaka yote hiyo akiwa mwanachama wa CCM na waziri, mbona alikuwa hayasemi hadharani haya?

Halafu, watu kama sisi...we've seen this movie before.

Mwinyi alikuja na blah blah za fagio la chuma. Mkapa akaja na porojo za uwazi na ukweli. Mkweere akaja na tiralila za ari mpya, kasi mpya, na sijui nguvu mpya na mambo ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

Wote hao hamna kitu cha maana walichokifanya.

I am not falling for this kind of BS.



Huwa najiuliza nini kinaweza pelekea Taifa zima watu kuwa so naive
na so ass kissers?
 
Hajaongelea nani anaua TEMBO..? Nani katoa ruhusa TWIGA kupanda ndege..? Au hadi aapishwe atasema HAYA.. na mengine...? IPTL, Mikataba ya Gas, UDA, Katiba Mpya ya Wananchi... au anangojea KUAPISHWA..? Ila si anajua nani anamaliza TEMBO..? Naona anasifia mbuyu aliokalia ataukata kweli...?😨😨 Fiction..? Or...💤💤💤
 
Ngoja nataka NIONE MAGUFULI aukate MBUYU alio ukalia..!!!

This is comedy of life time...😨😷
 
Hadithi njoo utamu kolea,....
Watanzania ni very gullible,....

Huyu jamaa kasahau wimbo wao unaosema CCM ni ile ile.
Hata uitwange kwenye kinu haibadiliki.
 
Alichosema ni sahihi kabisa, watu wanafiki ni kuwafukuza kwenye chama tuu. hata wenye tuhuma za ufisadi wengine bado wapo ndani ya ccm ni kuwatimulia mbali. ili kurejesha misingi ya awali.
Kuna baadhi ya watu ndani ya CCM na serikali kwa sasa watakuwa na wasiwasi wa maisha yao ndani ya chama na serikali.
 
Hahahaa huyo ni loose cannon.

Sitashangaa kabisa akiamua kuvunja katika na sheria zinginezo na kufanya aonavyo ni sawa.

Hivi the future of foreign policy Tanzania kwa hii miaka mitano si itakuwa ni Bizzare????
 

Hivi the future of foreign policy Tanzania kwa hii miaka mitano si itakuwa ni Bizzare????

...and you ain't seen nothing yet!

Hata hapo alivyokuwa anaongea body language ya Kikwete inaonyesha kabisa jinsi alivyokuwa uncomfortable na kilichokuwa kinazungumzwa.

Imagine hivi bado hajaapishwa na anaongea hivyo. Akishaapishwa je?
 
Magufuli hana uwezo wa kusafisha chama hayo maneno kaongea alikua antoa kijiba cha moyo.Huyu jamaa ana mzigo mzito sana.Jumba bovu litamwangukia waliyomuweka ndiyo watakao mdondosha
 
...and you ain't seen nothing yet!

Hata hapo alivyokuwa anaongea body language ya Kikwete inaonyesha kabisa jinsi alivyokuwa uncomfortable na kilichokuwa kinazungumzwa.

Imagine hivi bado hajaapishwa na anaongea hivyo. Akishaapishwa je?


Kikwete mkavu tu in public
lakini naona in private huwa anajiuliza
'tumefanya nini'....
 
Baadhi ya viongozi wa CCM na wafanyakazi waandamizi wa serikali kwa sasa watakuwa wana wasi wasi mkubwa wa maisha yao ndani ya chama na serikali.

mimi tangu nianze kumsikiliza Magufuli sio mwanasiasa wa kawaida, na ndio naona ni vizuri tukimpata mtu ambaye sio breed ya kawaida ya wanasiasa tuliozoea itakuwa vizuri sana.
 
Hivi Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM??
 
Mimi nilizan ataanza na Mafisadi kumbe yeye Chama kwanza Taifa Baadae
 
Hii ni nguvu ya Soda, ndani ya miaka miwili atakuwa amebadilika kabisa. Huwezi kuwa CCM na ukawa na uwezo wa kusimamia maslahi ya Taifa kwa asilimia mia moja. Kwani walioko chini yake watamwacha apete namna hiyo?
Haya mawazo yako yakichagizwa na fikra zako!

Umenatumia kigezo gani kufikia hitimisho lako?
 
Siasa za 'kutema cheche'
na 'kutingisha' zimeshapitwa na wakati.....
Angejifunza 'boardroom' politics...
Hizo siasa zimepitwa na wakati kuanzia lini?

Kwani unadhani huwezi ''kutema cheche'' kwenye majukwaa baadaye ukarudi kwenye boardroom kukamilisha maamuzi ya ''cheche'' ulizozitema?
 
Hizo ni mbio za sakafuni tu miaka miwili mingi tutakutana humu humu ndani kila mmoja akiwa ana jilaumu kivyake na tukumbuke ningejua huja mwisho Wa safari tuombeane uzima tu
 
No......kwa muono wangu hataweza hata kidogo.Hapo CCM ni Majungu Ltd na asipoangalia atashindwa kabisa.Mtihani wa kwanza ni ZEC na uchaguzi wa huko...zigo hilo atatupiwa.
Hizi ni fikra zako na una haki ya kufikiria hivyo lakini nadhani fikra zako ni kama kupiga ramri!
 
Back
Top Bottom