JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
Yuko na Yusuph Makamba wanawaandalia magamba wenzao makao ili wawepo na magamba nao waweze kuwepo 2015 baada ya nchi kuchukuliwa na Magwanda!

Hapo kwenye blank nadhani ulitaka kuandika ******
Mkapa atakumbukwa na sisi wana CCM, siyo nyinyi Chadema.

mnamkumbuka wa nini acheni apumzike -- si mlisema amewaibia kiwira yenu sasa yemewafika shingoni?
Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?
Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!
Nawasilisha
Mkuu, umesahau, JK alisema tumuache apumzike. Kiwira alisharudisha, sasa tunamtafuta wa nini.

Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?

Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!

Nawasilisha

punguza hacra kaka,ila kwa mtu mwenye akil timamu anaweza kusema mkapa ni rais pekee alyeweza kumfanya mwananch wa kawaida akaweza kuishi,sh mia tano mtu alpata mlo mmoja,kwa maana hii nusu kilo ya unga sh 150,maharage nusu 125,mchicha sh20-50,chumv sh50,kiberti sh20,kpande cha sabni sh 100,kwa mantiki hii kwanini nisimkumbuke???
Yupo tu, anaangalia JK anavyovurunda[/QUOTE]
Unamaanisha mzee wa uwazi na ukweli? Asije akawa hana kitu kabisa sasa hivi maana hakuwahi kuiba hata kidogo. Mzee huyu sitamsahau mpaka siku naenda kaburini, hasa kwa sera zake za ubinafsishaji pamoja na uaminifu wake mkuu uliotukukuka. Halafu jambo moja kubwa sana alitujengea uwanja wa mpira wa kisasa zaidi duniani, ambayo hasa ndiyo ilikuwa priority yetu nadhani tangu tumejitawala. JK na yeye badala ya kuongeza mwingine wa namna hiyo Mwanza au Dodoma yeye anatujengea UDOM

Mkapa ana wiki sasa yupo shambani kwake Dizungu Mtibwa Turiani anasimamia uvunaji miwa yake katk shamba lake la ekari elfu tano!!!