Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
kajipunzikia zake anakula penshen ya uzeeni
Magamba bwana, hivi Masaburi hakukosea kabisa kuwa hamtumii akili kufikiri. Hivi kuna rais wa CCM?Mkapa atakumbukwa na sisi wana CCM, siyo nyinyi Chadema.
Yuko nyumbani kwake Lushoto kakimbia msongamano wa magari Dar.Alisema kweli mtanikumbuka, maana tangu aingie huyu nuksi Tanzania imekuwa zama za DHIKI KUU
Mkapa atakumbukwa na sisi wana CCM, siyo nyinyi Chadema.
Mkapa atakumbukwa na sisi wana CCM, siyo nyinyi Chadema.
Muache Mzee apumzike.Hakuna cha kumpumzika ngoja tupate Katiba mpya atashika adabu yake ya kutuingiza kwenye Miukataba feki, Lazima akanyee debe
Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?
Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!
Nawasilisha
Hapo kwenye blank nadhani ulitaka kuandika ******
Mkuu kwa hili hapo kwenye red sio ukweli. Ikulu ipo pale pale ilipojengwa na Wajerumani. Mkapa ananyumba yake aliyonunua kutoka kwa mgosi mmoja.Lushoto? Mwizi tu huyo Mkapa ameiba Ikulu yetu ya Lushoto halafu unasema yupo nyumbani kwake Lushoto? yupo kwenye Ikulu yetu aliyoibinafishisha shio Nyumba yake
Mkapa atakumbukwa na sisi wana CCM, siyo nyinyi Chadema.
mnamkumbuka wa nini acheni apumzike -- si mlisema amewaibia kiwira yenu sasa yemewafika shingoni?Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?
Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!
Nawasilisha