Rais mstaafu J.Kikwete akiwa na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Harvard University

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
Dbmc_v2WAAAMe-5.jpg:small
 
Inahitaji maandalizi kufikia hayo malengo.

Nimeanza kuweka fixed account kwa mwanangu mpenz

Kufikia muda wa kuanza Degree ya kwanza nitakuwa nina TZS 60 na kuendelea
Shida si pesa ila vichwa vya watoto. Kuhusu pesa kama unataka kuwekeza vizuri itunze in USD maana madafu, kalagabaho
 
Shida si pesa ila vichwa vya watoto. Kuhusu pesa kama unataka kuwekeza vizuri itunze in USD maana madafu, kalagabaho
Nakubaliana nawe. Inahitajika kuweka msingi kwa mtoto kuanzia S/msingi na sekondari..

Suala la USD Fixed Account nakubaliana nawe..
 
Back
Top Bottom