Hahaha.....dah....Mzee JPM baada ya kutulia akala bata...anajitia stress....nchi hii iko miaka maelfu mbele huko....afanye kwa kiasi....asichukulie vitu personal....hahahsAmetuachia mzee mwenye frustrations zake nchi haiendi kabisa!
Mkuu uliwaza nini kuongea hiviHahaha.....dah....Mzee JPM baada ya kutulia akala bata...anajitia stress....nchi hii iko miaka maelfu mbele huko....afanye kwa kiasi....asichukulie vitu personal....hahahs
sisi tumekatazwa kupiga fireworks(fataki) yeye anapiga. Ukubwa raha
Ametuachia mzee mwenye frustrations zake nchi haiendi kabisa!