Rais Mstaafu Dr Kikwete akiukaribisha mwaka mpya 2018 nyumbani kwake na wakazi wa Msoga

mzee wa watu anajilia bata tu baada ya kubeba mkwanja mwingi bila kushtukiwa na kumaliza salama
alikuwa analipwa kisheria na ameondoka katija nafasi hiyo kisheria na anaendelea kulipwa na kupewa stahiki zote kama Rais mstaafu
 
Watanzania tutakujahukumiwa kwa dhambi ya unafki tu ...
Nahsi ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Raia wanafki dunian..

Huu unafki ndio unatufanya tuwe nyuma kwa kila kitu..
Kwamaana Yale mabaya baadae tubayasafisha yanakuwa mema na mema tunayabatiza ubaya ..

Unafki mbaya sana
 
Jpm anakomaa sana .
Hadi anapata stress.
12108901_753009791471102_5226224161587987673_n.jpg
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
LIPIA TANGAZO LAKO
 
JK anaweza kutembea popote pale nchini hadi usiku wa manane akiwa huru, roho kwatu na walinzi wakawa wananchi. Bravo JK.
 
Back
Top Bottom