Rais Mstaafu Dr Kikwete akiukaribisha mwaka mpya 2018 nyumbani kwake na wakazi wa Msoga

hiyo picha ya pili imepigwa na jamaa mweupe na shati LA mistari kushoto kabisa mwa picha
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
unalipia wapi tangazo lako ndugu?
 
mzee wa watu anajilia bata tu baada ya kubeba mkwanja mwingi bila kushtukiwa na kumaliza salama
 
Sipati picha Kama ule msemo wa Ari mpya nguvu mpya na kasi mpya angeitumia jpm
 
Back
Top Bottom