Rais Mstaafu ABOUD JUMBE

Rais Mstaafu ABOUD JUMBE

Hahahahaah! Duh !! afadhali wewe umesema maana nilikuwa naogopa kusema, Ni kweli kabisaaaaaaaaa!!! Yupo kizuizini mpk leo tangu lilipojulikana anataka Kuvunja Muungano.
sasa kwanini unaogopa kusema ukweli.?
 
sasa kwanini unaogopa kusema ukweli.?
Mhhhhhhhhhhhh! Taamu, Nchi hii unaijua vizuri, ukisema ukweli wanaanza kukutafuta, na wakikupata na wewe unawekwa kizuizini au unapotea kabisa, kama ulivyosema yule mwanajeshi aliyekuwa na Abdu Jumbe hujui yuko wapi mpk sasa, nani anayataka hayo!!!
Akuuuuuuuuuuuu !!!!!! nina watoto wangu wananitegemea na wananihitaji.Naogoooooooooooopa!!!!
 
Kibunago & Mbuzi Mzee & Baba_Enock
Kamati kuu ya CCM kabla ya "Generation Magamba"

Nyuma toka mashoto:

Major General Abdallah Said NATEPE(RIP); Dr Salim Ahmed Salim; Getrude Mongella; Maalim Seif Sharif Khamad; Colonel Seif Bakari (RIP); Dawood Mwakawago (RIP): Colonel Moses Mnauye(RIP); Paolo Sozigwa

Mbele toka mashoto:

Dr Salmin Amour Jumaa;??????;Hassan Nassoro Moyo;Edward Moringe Sokoine(RIP); Aboud Jumbe Mwinyi; Julius Kambarage Nyerere(RIP); Rashid Mfaume Kawawa(RIP); Cleopa David Msuya; Kingunge Ngombale Mwiru


DSC04211.jpg

kumbe kingunge kilikuwa kinene ndio maana kikaitwa kingunge nini???
 
Back
Top Bottom