heshima kwako ni ipi? mlisema hatamaliza mda wake akamaliza tena na kuwaadhibu na dubwasha lenu.hahahaha! eti kwa heshima! wakat huyu aliyechukua kijiti analilia kaachiwa nchi imeoza! kuozesha nchi ndo heshima?!
CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu DIKTETA UCHWARA easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Huyu Mungu wenu bila shaka anaitwa Lucifer.
Zungumza na wenye maduka Kkko hadi Posta...
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
CHADEMA ilijipanga vyema sana 2010-2015 kabla Mbowe na akina Lissu hawajatuharibia mchakato wa kura za maoniDuh! Zamani gani hiyo ambayo CDM ilikuwa imara? Labda wengine tulikuwa hatujazaliwa. Lakini kama CDM hii iliyoanzishwa baada ya vyama vingi kuruhusiwa tena mwaka 1992, has never been stronger.
Kwani hao wafanyakazi wa umma wapo dar tu watu tupo chip tunapiga maji kisimani na mavi ya ng'ombe, acha iwe hivoI agree with you. Hata wafanyakazi wengi wa umma hawana furaha na staili hii ya Magu. Na hili la kuhamia Idodomya fasta ndio usiseme.
Vipi kuzungurusha mikono?Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
mkuu uko sawa kabisa,biashara iko down sana, kila siku afadhali ya jana,kila mtu analalamikaUkipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Kwani Cuba wana vyama vingapi na wana maisha gani? Hata Tanzania tutarudi kwenye chama kimoja na tutakuwa na maisha mazuri sana kama Cuba hakuna shaka. Demokrasia haiji kwa kulazimisha inabidi watu wawe tayari ama sivyo ufalme uendelee. Usiwe na shaka.
Hebu tutajie umri wako kwanza kabla hatujaanza mjadala Tusije kukaushana mate hapa kumbe MTU mwenyewe bado hujajielewa!tena atashinda kwa kura nyingi mnoo. hawa wapinzani hawana ajenda pumzi imekata mapema sana. wamebaki kufanya siasa za kinafiki mitandaoni
Mbona hukumuonya mbowe asiuze chama kwa lowasa?Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
unajua masharti ya kujiunga hili jukwaa? au umekupuka tu kujiunga huku?Hebu tutajie umri wako kwanza kabla hatujaanza mjadala Tusije kukaushana mate hapa kumbe MTU mwenyewe bado hujajielewa!
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Wao ndio "sample" ya utafiti wako?
Kama ndiyo hivyo wakosoaji wa Magufuli mna kazi kubwa.
Kama ndiyo hoja zenu hizo mi naweza kuja na kukwambia zungumza na wakulima na wafugaji uone wanavyomsifia na kumpongeza Magufuli na Serikali yake.