Rais Magufuli yashamshinda?

Subiri Jingalao na MOTOCHINI waisome post yako utakoga matusi.

Huko kunatakiwa kusifu na kuabudu tu
Kumbe MOTOCHINI tabia mbaya kaanza siku nyingi? Inaamaana hata pamoja na utekaji huu na watu kupotezwa, kumtuma Bashite akavamie kituo cha tv ili kipindi chake akipendacho cha Shilawadu kionyeshe bado ana imani ileile?
 
- Budget ijayo ni budget ya uchaguzi ( 2018/2019 ) hakuna cha maana kinachofanyika
 
Duuuhh, hili bandiko murua kabisa,
Hongera Nyani Ngabu
 
Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Nashindwa kukupa like maana wasiojulikana washafanya yao
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
 
Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Kwenye uchumi anafeli ''Things were slow now stuck''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…