Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Mbwembwe zote zile za kuhamia dodoma kumbe jamaa anahamia 2020.Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Yes ni kwelUkipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Acha upumbumbavu rais anajua anachofanya.
Yaani kote kote hakuna nafuu!
Hii inawahusu green color bila shakaUpo na dereva anaendesha gari, wewe umekaa kiti cha pembeni yake ghafla gari linaanza kuyumba yumba, dereva anakuuliza mbona gari linayumba yumba litakuwa lina matatizo? Wewe una mjibu hapana angalia uendeshaji wako wa gari ndo utakuwa una matatizo lakini dereva ana kubishia unajua nini kinachokwenda kutokea mbele? Ni kwenda kuliangusha gari.
HUKO NDIKO TUNAKO ELEKEA.
Ulishazoea ramii. Utelezi hadi unafika.Upo na dereva anaendesha gari, wewe umekaa kiti cha pembeni yake ghafla gari linaanza kuyumba yumba, dereva anakuuliza mbona gari linayumba yumba litakuwa lina matatizo? Wewe una mjibu hapana angalia uendeshaji wako wa gari ndo utakuwa una matatizo lakini dereva ana kubishia unajua nini kinachokwenda kutokea mbele? Ni kwenda kuliangusha gari.
HUKO NDIKO TUNAKO ELEKEA.
Nimekusoma mkuuUpo na dereva anaendesha gari, wewe umekaa kiti cha pembeni yake ghafla gari linaanza kuyumba yumba, dereva anakuuliza mbona gari linayumba yumba litakuwa lina matatizo? Wewe una mjibu hapana angalia uendeshaji wako wa gari ndo utakuwa una matatizo lakini dereva ana kubishia unajua nini kinachokwenda kutokea mbele? Ni kwenda kuliangusha gari.
HUKO NDIKO TUNAKO ELEKEA.