mechard Rwizile
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,571
- 875
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Amenikatisha tamaa sana. Mh. Rais unaogopa nini ?? Kweli sikutegemea kama kuna siku Tanzania itafikia hatua hii.tutavuka lakini InshaAllah.
ataigharimu sana nchi hii
sana
Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu rasi Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.
Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
Mh...nkingwa?!!
A
Nyie vijana wa UKUTA mna kejeli sana,
Unafikia kumkrjeli muadhama,
Mwenye kuamuru polisi wenye dhana,
Mkuu hebu washushie mvua ya lawama
Ukuta unamjaribu!acha pumba.sijaribiwagi 😉😉😉
Busara, hana. Hekima, sifuri. Kuongea, pumba. Dira, haijulikani. Mwelekeo, giza.
Kwa mwendokasi aliouonyesha mpaka hivi sasa, huyu rasi Magufuli yuko mbioni kuwa ndo rais bomu kabisa kupita wote katika historia ya Tanzania.
Naamini hata CCM wenzake wapo wanaojuta sasa hivi maana kageuka kuwa kituko.
Mwaka Jana utakumbukwa sana kwenye historia ya nchi hiiHata mwaka hajamaliza!
Hiyo miaka minne na ushee ilobaki sijui itakuwaje tu.