Rais Magufuli, wewe ni mwanaume

Rais Magufuli, wewe ni mwanaume

So 20% kwako unaiona ndogo? Hivi unajua asilimia 20 ya wagonjwa wetu 509 mpaka sasa ni watu 101, so kwako wewe ni sawa watu 101 kufa?

na je unajua watu wangap kila mwaka hufa kwa magonjwa kama, HIV/AIDS, malaria and stroke?
 
north korea its publically known that huezi kupata taarifa zake unless south korea wazitoe, thats one! ukiachana na tz most nations walifunga mipaka yao, and then went onto lockdown immediately: so what are you trying to say kwamba izo nchi ulizotaja apo ndo znawapenda wananchi wao kuliko nchi zenye corona ama?

Acha porojo, weka ushahidi wa nchi zilizofunga mipaka na immeadiately zikafanya lockdown na bado zina maabukizi ya corona.

na je unajua watu wangap kila mwaka hufa kwa magonjwa kama, HIV/AIDS, malaria and stroke?

Hayo magonjwa uliyotaja kuna hata moja ambalo umeambiwa uvae barakoa, uoshe mikono na sanitizer, uepuke msongamano ili kujikinga usiupate?
Okay hata kama na yenyewe yanaua, kwahiyo ilikuwa ni sahihi kuacha corona iingie nchini kwakuwa tu hawa raia wasipokufa na corona tayari wana ukimwi kwahiyo watakufa tu?
 
Nikushukuru kwa mchango wako, hakuna mtu wa safari hii mwenye jibu la taharuki hii hata hatujui kwamba Barakoa ndo kinga au la, tunabahatisha. ulimwengu unajaribu kubuni kila linaloweza kuonyesha manufaa, ndo maana Watz tukaweka matumaini kwa huyo anayejua yote yaani Mungu. Kwa hill nampa JPM PHD nyingine ni Rais pekee duniani aliyeliongoza Taifa lake kumlilia Mungu pale ambapo dunia ilikubwa na plague hill tu linatosha, Mungu siyo lazima ajibu leo lakini tunaamini atajibu. So mkakati mkubwa ni kumlilia Mungu muumba Dunia na vyote, kama huamini utaona ni upuuzi lakini hata sasa ametusaidia.
Huyo mungu wako anaekufanya utofautiane na wenzako katika mapambano, uwe na kiburi, udharau wataalam aka Wanasayansi na ujione wewe ndie unaempendeza zaidi ni mungu yupi? Na je wewe ndiye unaempikia chai sio?
 
Acha porojo, weka ushahidi wa nchi zilizofunga mipaka na immeadiately zikafanya lockdown na bado zina maabukizi ya corona.

Hayo magonjwa uliyotaja kuna hata moja ambalo umeambiwa uvae barakoa, uoshe mikono na sanitizer, uepuke msongamano ili kujikinga usiupate?
Okay hata kama na yenyewe yanaua, kwahiyo ilikuwa ni sahihi kuacha corona iingie nchini kwakuwa tu hawa raia wasipokufa na corona tayari wana ukimwi kwahiyo watakufa tu?

ni kwamba unajifanya chizi ama? nnmekuuliza swali je nchi ambazo corona imeingia kwamba serikali haipendi wananchi wake ama? na sjasema kwamba tuache na corona kwa sababu kuna magonjwa mengine my point is that corona haikupaswa kupewa attention kubwa kama ivi, imagine corona yenyewe sisi tunajua kwamba imetoka wuhan lakini cha ajab china wanaishtaki marekani ndo wameitengeneza na marekani wanalalamika kwamba china wametengeneza, so kwa haraka haraka apa there was no need kuipa attention kiaasi iki, let me tell you one thing

Everything that happens on this world ni mafumbo, there is alot to the unknown in almost everything this world than you think thats its just a disease! be smart
 
Hili la kujilinganisha na nchi nyingine ambazo nazo zina corona na kuhoji kama kwani wao wanapenda wananchi wake ama laa ni kama utani uliochakaa, umesharudiwa sana na hauchekeshi tena japo mwanzo uliposemwa kwa mara ya kwanza tulicheka sana mpaka mbavu zikatuuma. Na ndio maana sijakujibu. Kimsingi tulipaswa kujiangalia sisi, sio wao na wale, hapana, siiiisi.

Na kisha hatua za kuuzuia zilipaswa ndio zipewe kipaumbele cha haraka sana, kwakuwa tunajua kupambana nao hatuwezi, hata bi dada wa kitanga alishatuambia, hatuwezi, huku akicheka.

Kuhusu kuupa ugonjwa attention, yaani unaona wafu wa corona wanazikwa kwa mafungu tena na greda huko brazil uache kutetemeka kwa kuhofia corona itakuwa superstar, acha iwe, kwa mwoga kwaenda kicheko, sie waswahili tunaamini hivyo, bongo bila kutishana raia wanakuwa wapuuzaji sana. Na matokeo yake kasi ya maambukizi itaongezeka.

Kuhusu mkanganyiko wa ni wapi kirusi kimeanzia, wuhan au texaz, it doesnt matter just know that this shit kills and kills faster.
 
Tuko katika vita na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Umedhihirisha kwamba wewe ni jemedari hodari katika hili.

Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? Vitabu vya historia vitaandika habari zako kama mtu shujaa wa karne.

Naamini COVID19 itapita na Tanzania itabaki salama na heshima kubwa. Mungu anayeishi hasemi uongo, alisema niiteni nami nitaitika. Mungu amesikia kilio chetu atajibu nasi tutamtukuza, vile mataifa wanavyotuombea matokeo hasi ndivyo Mungu atakavyo jitukuza katika kutufanikisha katika mema.

Magufuli tunakuamini wala usivunjike moyo kwa kelele zinazopigwa. Weka pamba masikioni songa mbele uuone utukufu a Mungu. Huyo anayekufa sasa anakufa kwa wakati wake na mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Wakati wa vita hatutaji majeruhi wala waliokufa vitani, tutafanya hiyo hesabu tukishashinda vita. Wewe tuhimize kuingia kwenye mahandaki tushishambuliwe. Ukiona kuna mtu anafanyia mzaha vita msaidie kuwa kimya tutaombana msamaha mwisho wa safari ya vita.

Wewe uliandaliwa wakati wa sasa, wakati muafaka kwa kusudi maalum. Nawaza kimoyomoyo angelikuwa mwingine ambaye anaweza kusukumwa na kila upepo tungekuwa wapi.

Wewe ni mwanaume, big up tuko nyuma yako. Natamani nikapande Mlima Kilimanjaro niwaambie marais wote wa Afrika, woga wetu ndio umaskini wetu wachukue mfano kwako.

Long live Magufuli.
Mwanaume ni baba yako, mbona unanipa mashaka, hata baba yako amezidiwa uanaume na huyo unayemsifia
 
wapi katika historia ya makabila yote 120+ ya Tanzania umewahi kusikia Mwanaume aliepita jando Anajivundika?.. Huyu mwali wa kizaramo sio Mwanaume bro!
 
Ukitakasa mikono huna haja ya miwani
wanasayansi wamefanya utafiti tena juzi kati tu hapa, na wamesema malango mzuri wa hivi virusi kuingia ndani ya mwili ni kwenye macho, so usitakase mikono pekee, unatakiwa angalau kuvaa miwani😥
 
Ngoja nikusaidie, mimi ukiniuliza,

Ni upi mkakati uliopo wa kuhakikisha nishati ya umeme inapatikana nchi nzima na inakuwa ya uhakika?

Jibu langu ni moja tu, serikali inatekeleza mradi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station wenye gharama ya dola za kimarekani bilioni 3.9 ambao ukikamilika utazalisha umeme wenye Gigawatt hours 5,920. Huo ndio mkakati uliopo.

Sasa kwa mujibu wa maelezo yako, huo mkakati wa corona hata wewe huoni, hiyo dawa ya kufubaza obvious unarefer kikombe cha madagasca, kama nchi tumebakia kumwomba Mungu na kujifukiza, una corona hujijui, huna corona hujijui, unaambiwa subiri uonyeshe dalili, zikianza dalili ukienda hospitali unaambiwa majibu yako fuata kesho, usiku unafia guest.
Nini ushauri wako?

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Mkuu 'Wimbo',

Imenibidi nicheke niliposoma hadi mwisho wa makala yako.

Sikulaumu, wewe unajihisi hivyo, na kuna wengine wanahisi tofauti au sio?

Unajichanganya sana kwenye mada yako. Hapo ndipo ulipoanza kupoteza umakini na kuonekana huna tofauti na wapiga zumari.

Hebu angalia haya uliyoandika hapa yanavyojichanganya katika mistari michache tu hii uliyoandika:
1. "Tuko katika vita, na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndio nguvu yetu." Kuna wanaopiga kelele, ni akina nani hao, waTanzania au watu gani? Kwa hiyo hakuna umoja wenu au sio? Na hapo hapo, unahimiza jemadari wako aweke pamba masikioni. Kwa hiyo hata wewe hatakusikia na kilio chako hiki.

2. "Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? "---vile mataifa wanavyotuombea matokeo hasi....". Kumbe kuna mataifa yanawaombea hasi? Haya mataifa hayana Mungu wao?

3. "Wakati wa vita hatutaji majeruhi wala waliokufa vitani". Nami naomba kwa Mungu wetu mmoja wa hao watakaokufa vitani awe ni 'Wimbo'.

Inaniwia vigumu kuendelea kukuchambua kwa sababu sioni tofauti yako na wale jamaa wanaovaa mikanda ya kujilipua.
Leo hii Magufuli akitaka mtu wa kufanya kazi chafu kwa waTanzania wenzenu, wewe ni 'candidate' aliye tayari kabisa kumfanyia hiyo kazi.

Hizi bangi mnazilimaga wapi?
Mbona umepaniki?

Hatunywi sumu,hatujinyongi..CCM MBELE KWA MBELE

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Tuko katika vita na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Umedhihirisha kwamba wewe ni jemedari hodari katika hili.

Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? Vitabu vya historia vitaandika habari zako kama mtu shujaa wa karne.

Naamini COVID19 itapita na Tanzania itabaki salama na heshima kubwa. Mungu anayeishi hasemi uongo, alisema niiteni nami nitaitika. Mungu amesikia kilio chetu atajibu nasi tutamtukuza, vile mataifa wanavyotuombea matokeo hasi ndivyo Mungu atakavyo jitukuza katika kutufanikisha katika mema.

Magufuli tunakuamini wala usivunjike moyo kwa kelele zinazopigwa. Weka pamba masikioni songa mbele uuone utukufu a Mungu. Huyo anayekufa sasa anakufa kwa wakati wake na mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Wakati wa vita hatutaji majeruhi wala waliokufa vitani, tutafanya hiyo hesabu tukishashinda vita. Wewe tuhimize kuingia kwenye mahandaki tushishambuliwe. Ukiona kuna mtu anafanyia mzaha vita msaidie kuwa kimya tutaombana msamaha mwisho wa safari ya vita.

Wewe uliandaliwa wakati wa sasa, wakati muafaka kwa kusudi maalum. Nawaza kimoyomoyo angelikuwa mwingine ambaye anaweza kusukumwa na kila upepo tungekuwa wapi.

Wewe ni mwanaume, big up tuko nyuma yako. Natamani nikapande Mlima Kilimanjaro niwaambie marais wote wa Afrika, woga wetu ndio umaskini wetu wachukue mfano kwako

Long live Magufuli.
Magufuli tunakuamini wala usivunjike moyo kwa kelele zinazopigwa. Weka pamba masikioni songa mbele uuone utukufu a Mungu. Huyo anayekufa sasa anakufa kwa wakati wake na mwisho wa siku maisha yanaendelea.
Tunaongozwa na rais aliyeweka pamba maskioni ndio maana leo tunakimbiwa na majirani zetu. Ndio maana Raila wa Kenya akasema magu hashauriwi vizuri...na watanzania kama wewe mmedhihirisha hilo, eti weka pamba maskioni!
 
Angekuwa mwanaume angeacha vyama vyote vifanye siasa kisha waonane octoba,angekaa ikulu apambane na corona,angeshndana kwa hoja ili aman itawale,angeongeza mishahara ya watumish,angeajiri wanafunz wanaomaliza vyuo,angeacha vyombo vya habar viwe huru,
 
Mkorogo fulani wa “ religious fanaticsm” na “ hero worship”.

Kama hatua za kujikinga na ugonjwa ni katika ngazi ya mtu mmoja mmoja tena kwa utashi wake mwenyewe, hizo sifa za nini?

Na hiyo “anayeleta mzaha kwenye hii vita msaidie kunyamaza” inatoka wapi?

Yaani kuna gonjwa “linalonyamazisha” watu lakini bado tunataka “kunyamazishana” wenyewe na hapohapo tunamwingiza Mungu!
 
Mbona umepaniki?

Hatunywi sumu,hatujinyongi..CCM MBELE KWA MBELE

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Ndio vijana wa 'Popole'nyinyi? Mnahangaika sana!
Badala ya kuendeshwa tu kama mashine, jaribuni kutumia akili zenu mlizopewa na Mwenyezi Mungu kusimamia mnayoona yanafaa na kupinga yasiyofaa. Msiendeshwe tu kama matrekta.
 
Back
Top Bottom