Rais Magufuli, wewe ni mwanaume

Rais Magufuli, wewe ni mwanaume

Kaugonjwa kadogo sana haka,Nyie kachapeni kazi mimi nimejificha huku kijijini kwangu Nachingwea.

if you are a real man, nenda na wewe kajifiche usifanye kazi yoyote! kaa zako ndan mpaka dunia nzima covid itakapoisha
 
Navaa barakoa ili nijikinge na MWENYE CORONA
Naosha mikono nisije kushika virusi vilivyotoka kwa MWENYE CORONA
Sidharau na wala siifanyi kiki ya kisiasa ili nijikinge na MWENYE CORONA
Sikusanyiki kwasababu sitaki nikaribiane na MWENYE CORONA.

Swali. Wewe kwa mtazamo wako, ni upi mkakati uliopo unaotekelezwa kwa nguvu zote kumsaidia huyu MWENYE CORONA au tunasubiri wafe wote ndipo maisha yaendelee?

ebu vaa viatu vya uraisi, dawa hakuna dunia nzima unataka umfanyaje mwenye corona? afterall corona isnt even deadly, just check the list of diseases such as stroke which kills millions every year
 
Nikushukuru kwa mchango wako, hakuna mtu wa safari hii mwenye jibu la taharuki hii hata hatujui kwamba Barakoa ndo kinga au la, tunabahatisha. ulimwengu unajaribu kubuni kila linaloweza kuonyesha manufaa, ndo maana Watz tukaweka matumaini kwa huyo anayejua yote yaani Mungu. Kwa hill nampa JPM PHD nyingine ni Rais pekee duniani aliyeliongoza Taifa lake kumlilia Mungu pale ambapo dunia ilikubwa na plague hill tu linatosha, Mungu siyo lazima ajibu leo lakini tunaamini atajibu. So mkakati mkubwa ni kumlilia Mungu muumba Dunia na vyote, kama huamini utaona ni upuuzi lakini hata sasa ametusaidia.

ebu vaa viatu vya uraisi, dawa hakuna dunia nzima unataka umfanyaje mwenye corona? afterall corona isnt even deadly, just check the list of diseases such as stroke which kills millions every year

Hivi kulikuwa na ubaya gani kipindi virusi viko mbali kama tungejikita katika kukinga virusi visiingie kwa kufanya yafuatayo
1. Kupima wageni wote wanaoingia nchini(angani, ardhini,majini) na kuwaweka karantini kwa siku 14
2. Kuhakikisha maabara zetu zinavifaa na wataalamu wa kutosha tayari kwa kupima corona
3. Kusambaza vipimo mpaka ngazi ya hospitali za wilaya na vituo vya afya
4. Kugawa kwa wingi vifaa kinga vya kutosha kwa wataalamu wetu wa afya
5. Kufanya utafiti wa haraka ni dawa gani kati ya zilizopo inasaidia kufubaza kasi ya virusi hivyo wakati tukingoja chanjo kamili
 
Tuko katika vita na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Umedhihirisha kwamba wewe ni jemedari hodari katika hili.

Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? Vitabu vya historia vitaandika habari zako kama mtu shujaa Wa karne.

Naamini COVID19 itapita na Tanzania itabaki salama na heshima kubwa. Mungu anayeishi hasemi uongo, alisema niiteni nami nitaitika. Mungu amesikia kilio chetu atajibu nasi tutamtukuza, vile mataifa wanavyotuombea matokeo hasi ndivyo Mungu atakavyo
jitukuza katika kutufanikisha katika mema.

Magufuli tunakuamini wala usivunjike moyo kwa kelele zinazopigwa. Weka pamba masikioni songa mbele uuone utukufu a Mungu. Huyo anayekufa sasa anakufa kwa wakati wake na mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Wakati wa vita hatutaji majeruhi wala waliokufa vitani, tutafanya hiyo hesabu tukishashinda vita. Wewe tuhimize kuingia kwenye mahandaki tushishambuliwe. Ukiona kuna mtu anafanyia mzaha vita msaidie kuwa kimya tutaombana msamaha mwisho wa safari ya vita.

Wewe uliandaliwa wakati wa sasa, wakati muafaka kwa kusudi maalum. Nawaza kimoyomoyo angelikuwa mwingine ambaye anaweza kusukumwa na kila upepo tungekuwa wapi.

Wewe ni mwanaume, bigup tuko nyuma yako. Natamani nikapande Mlima Kilimanjaro niwaambie marais wote wa Afrika, woga wetu ndio umaskini wetu wachukue mfano kwako.

Long live Magufuli.
Hajafa ndugu yako kwa Corona sababu ya uzembe
Ukifiwa urudi humu utujulishe
 
Hivi kulikuwa na ubaya gani kipindi virusi viko mbali kama tungejikita katika kukinga virusi visiingie kwa kufanya yafuatayo
1. Kupima wageni wote wanaoingia nchini(angani, ardhini,majini) na kuwaweka karantini kwa siku 14
2. Kuhakikisha maabara zetu zinavifaa na wataalamu wa kutosha tayari kwa kupima corona
3. Kusambaza vipimo mpaka ngazi ya hospitali za wilaya na vituo vya afya
4. Kugawa kwa wingi vifaa kinga vya kutosha kwa wataalamu wetu wa afya
5. Kufanya utafiti wa haraka ni dawa gani kati ya zilizopo inasaidia kufubaza kasi ya virusi hivyo wakati tukingoja chanjo kamili

kwan unadhan nchi zingine zilikua hazifanyi ivo? si ni wote tunateseka na corona? whats wrong with your head?
 
Ya kwetu ilifanya?

marekani mpaka leo wanaendelea na mass testing na wana wagonjwa 1.5M, do you think hawana test kits kila county? unadhan hawakufunga mipaka? tupe mfano wa nchi ambayo ni corona free? kama huna then just shut up
 
nocorona.png
 
stakehigh kama kiingereza ni shida, nchi hizi hazina maambukizi ya corona kabisaaaa

Kiribati

Marshall Islands

Micronesia

Nauru

North Korea

Palau

Samoa

Solomon Islands

Tonga

Turkmenistan

Tuvalu

Vanuatu

Sema jingine.
 
Ya kwetu ilifanya?

afterall its scientifically proven that not everyone should be tested, according to our country age demography inaonyesha kwamba kuna vijana wengi zaidi, marekani has alot of old people, they have alot of deaths because of the age barrier not unless someone had issues before

even the official website walishasema kabisa not everyone should be tested

1589421133315.png

nmekuwekea na reference maaana hata kusoma tu ni pandemic kwako
Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
 
Tuko katika vita na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Umedhihirisha kwamba wewe ni jemedari hodari katika hili.

Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? Vitabu vya historia vitaandika habari zako kama mtu shujaa Wa karne.

Naamini COVID19 itapita na Tanzania itabaki salama na heshima kubwa. Mungu anayeishi hasemi uongo, alisema niiteni nami nitaitika. Mungu amesikia kilio chetu atajibu nasi tutamtukuza, vile mataifa wanavyotuombea matokeo hasi ndivyo Mungu atakavyo
jitukuza katika kutufanikisha katika mema.

Magufuli tunakuamini wala usivunjike moyo kwa kelele zinazopigwa. Weka pamba masikioni songa mbele uuone utukufu a Mungu. Huyo anayekufa sasa anakufa kwa wakati wake na mwisho wa siku maisha yanaendelea.

Wakati wa vita hatutaji majeruhi wala waliokufa vitani, tutafanya hiyo hesabu tukishashinda vita. Wewe tuhimize kuingia kwenye mahandaki tushishambuliwe. Ukiona kuna mtu anafanyia mzaha vita msaidie kuwa kimya tutaombana msamaha mwisho wa safari ya vita.

Wewe uliandaliwa wakati wa sasa, wakati muafaka kwa kusudi maalum. Nawaza kimoyomoyo angelikuwa mwingine ambaye anaweza kusukumwa na kila upepo tungekuwa wapi.

Wewe ni mwanaume, bigup tuko nyuma yako. Natamani nikapande Mlima Kilimanjaro niwaambie marais wote wa Afrika, woga wetu ndio umaskini wetu wachukue mfano kwako.

Long live Magufuli.

Mkuu 'Wimbo',

Imenibidi nicheke niliposoma hadi mwisho wa makala yako.

Sikulaumu, wewe unajihisi hivyo, na kuna wengine wanahisi tofauti au sio?

Unajichanganya sana kwenye mada yako. Hapo ndipo ulipoanza kupoteza umakini na kuonekana huna tofauti na wapiga zumari.

Hebu angalia haya uliyoandika hapa yanavyojichanganya katika mistari michache tu hii uliyoandika:
1. "Tuko katika vita, na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndio nguvu yetu." Kuna wanaopiga kelele, ni akina nani hao, waTanzania au watu gani? Kwa hiyo hakuna umoja wenu au sio? Na hapo hapo, unahimiza jemadari wako aweke pamba masikioni. Kwa hiyo hata wewe hatakusikia na kilio chako hiki.

2. "Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? "---vile mataifa wanavyotuombea matokeo hasi....". Kumbe kuna mataifa yanawaombea hasi? Haya mataifa hayana Mungu wao?

3. "Wakati wa vita hatutaji majeruhi wala waliokufa vitani". Nami naomba kwa Mungu wetu mmoja wa hao watakaokufa vitani awe ni 'Wimbo'.

Inaniwia vigumu kuendelea kukuchambua kwa sababu sioni tofauti yako na wale jamaa wanaovaa mikanda ya kujilipua.
Leo hii Magufuli akitaka mtu wa kufanya kazi chafu kwa waTanzania wenzenu, wewe ni 'candidate' aliye tayari kabisa kumfanyia hiyo kazi.

Hizi bangi mnazilimaga wapi?
 
afterall its scientifically proven that not everyone should be tested, according to our country age demography inaonyesha kwamba kuna vijana wengi zaidi, marekani has alot of old people, they have alot of deaths because of the age barrier not unless someone had issues before

even the official website walishasema kabisa not everyone should be tested

View attachment 1449596

nmekuwekea na reference maaana hata kusoma tu ni pandemic kwako
Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
Hapo anaamaanisha sio kila mtu aliyopo nchini lazima apimwe, hamaanishi msipime wageni wanaoingia nchini mwenu, preventive measure ilikuwa kupima wageni ambao ndio walituletea corona.
By the way umetaka nchi ambazo hazina maambukizi nimekupatia, what was yo point, if any.
 
the point ni kwamba those are minor countries, with the likes of korea ambayo taarifa zao mpaka tupate from the other nations they are merely coountries to be recognized but my point is that your advice was a stupid one cause you cant battle a virus from those methods, alot of countries walifunga mipaka but its another story today wengine waliweka mpaka lockdown na imewashinda sasa
 
naona bado kusoma kunakushinda, WHO said 80% of people will recover alone without any medication
 
Hakuna nchi inaweka lockdown raia wake kama kirusi hakijaingia, nchi zote zilizoweka lockdown zilifanya hivyo baada ya corona kuwa imeshaingia, na lockdown sio njia ya kuzuia kirusi kisiingie nchini mwako bali ni njia ya kupunguza kirusi kisisambae zaidi nchi mwako baada ya kuwa kimeshaingia.

Kuhusu kufunga mipaka, nchi zilizowahi kufunga mipaka kabla ya kirusi hakijaingia ndio hizo nilizokupa na mpaka leo hazina maambukizi, zilizofunga mipaka yake baada ya kirusi kuwaingilia ni zile ambazo zinajilinda na nchi nyingine ambazo hazitoi takwimu na raia wake wanakutwa na corona wakipimwa mipakani mwaona, wanao isiwe tabu acha tuwazuie hawa kulinda raia wetu.

My advice is still the best fella, next time tusirudie hili kosa, piga pini tu, ona sasa wanatupiga wao.
 
So 20% kwako unaiona ndogo? Hivi unajua asilimia 20 ya wagonjwa wetu 509 mpaka sasa ni watu 101, so kwako wewe ni sawa watu 101 kufa?
 
Hakuna nchi inaweka lockdown raia wake kama kirusi hakijaingia, nchi zote zilizoweka lockdown zilifanya hivyo baada ya corona kuwa imeshaingia, na lockdown sio njia ya kuzuia kirusi kisiingie nchini mwako bali ni njia ya kupunguza kirusi kisisambae zaidi nchi mwako baada ya kuwa kimeshaingia.

Kuhusu kufunga mipaka, nchi zilizowahi kufunga mipaka kabla ya kirusi hakijaingia ndio hizo nilizokupa na mpaka leo hazina maambukizi, zilizofunga mipaka yake baada ya kirusi kuwaingilia ni zile ambazo zinajilinda na nchi nyingine ambazo hazitoi takwimu na raia wake wanakutwa na corona wakipimwa mipakani mwaona, wanao isiwe tabu acha tuwazuie hawa kulinda raia wetu.

My advice is still the best fella, next time tusirudie hili kosa, piga pini tu, ona sasa wanatupiga wao.

north korea its publically known that huezi kupata taarifa zake unless south korea wazitoe, thats one! ukiachana na tz most nations walifunga mipaka yao, and then went onto lockdown immediately: so what are you trying to say kwamba izo nchi ulizotaja apo ndo znawapenda wananchi wao kuliko nchi zenye corona ama?
 
Back
Top Bottom