Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Labda kwakoMsimfananishe Daudi na vitu visivyoeleweka.Mungu asije akashusha laana.
Laana ni wew alichosema kimeekeweka mamlaka yaliyobaki anayomungu sasa laana I atoka wapi wew unataka kuchukua nafasi ya Mungu umsifie mwezako nawew utasifiwa ukiona wivu mwezio hakifanya vizur hizo ni hila za kisgetani si roho ya Muumba wetu wana warusifa huona hila wawaonapo wengine wanafanikiwa ndo maana unaona watu wanaloga ni hila tuu hakuna kingine Mungu kakuoamgia kazi yako ukiifany vizur utaeshimiwa na kupongezwa kama hauna basi jaribu hata kuilea familiya yako vyema ishi kwa maadir napo tutskupongeza naisi umenielewa ''''ongera Rais Magufuli kwa kazi nzito Mungu azudi kukupa nguvu ya kutuongoza watanzania""""Msimfananishe Daudi na vitu visivyoeleweka.Mungu asije akashusha laana.
You're ni tofauti na Your , hivyo rekebisha tumia Dr. Magufuli you're.....Wadau kwa utendaji kazi wa Dr John Magufuli naona ni miujiza tu ya Mola wetu kutuletea Kiongozi wa namna hii ambaye kiukweli hata katika zoezi la Uteuzi ndani ya Chama chake hakupewa nafasi kubwa sana. Wengi wetu tuliwapa nafasi na Kuwatabiria Makubwa Vigogo waliobobea kwenye Siasa,Wenye Nguvu Kubwa za Ushawishi bila kusahau Uwezo Mkubwa sana wa Kiuchumi.Palitokea hadi 'Manabii' Waliotabiri Tena kwa Kujiamini kuwa baadhi ya Vigogo Hao Wangefanikiwa kupata Fursa ya Kuongoza Nchi hii kwani Wao ni Chaguo la Mola.
Hata hivyo Muumba Wetu nae ana njia zake na mipango yake na ndio maana ametuletea Mhesh Dr. John Magufuli. Nimekumbuka mengi hususani habari moja ya Siku Nyingi kidogo ikionyesha na kuthibitisha ukuu wake.
'Yese akawapitisha Wanawe 7 Mbele ya Samweli , Samweli Akamwabia Yese Bwana Hakuwachagua Hawa!
Kisha Samweli Akamwambia, Watoto Wako Wote Wako Hapa? Akasema Amesalia Mdogo Wao na Tazama Anawachunga Kondoo.
Akamwambia Tuma Watu Wamlete kwa Sababu Hatutaketi Hata Atakapokuja Huku. Basi Yese akatuma mtu nae Akamleta kwao.Bwana Akasema Ondoka Umtie Mafuta Huyu Ndiye'
Tuendelee Kumuunga Mkono Mpendwa Raised Wetu ili Aweze Kutimiza Malengo ya Kuwaletea Watanzania Walio Wengi Maendeleo ya Ukweli na Kuwaondolea Katika Dimbwi la Umaskini Mkubwa.Aidha Tuzidi Kumuunga Mkono Kwenye Vita Dhidi ya Mafisafi, Wala Rushwa, Wanaotumie Madaraka Vibaya n.k. Aidha Tuzidi Wote Kwa Umoja Wetu Kushikamana na Kupambana na Wasaliti,Wahaini, ba Vibaraka Wote Wanaotumiwa na Mataifa ya Nje Kudhoofisha Juhudi za Dhati za Mhesh Rais Kuhakikisha Kuwa Rasilimali Zetu Zinaleta Manufaa Kwa Watanzania Wote Badala ya Kuwanufaisha Wachache.
Karibuni.
Tuambie ni nani mwingine baada ya mwl Nyerere. Sisi tumemwona yeye.Wengine woooote ni chaguo la Shetani eee?
'Bachi chawa'.
Hivi ile tuzo alipewa ?Dr.magufuli ndiye rais bora wa Africa kwa kweli kama kuna chagua la Mungu basi huyu ndiye haswa .
Kama unafamilia, wewe unaweza kutimiza mahitaji yote kwa wakati mmoja? Huna mpango? Huna vipaumbele? Ndivyo ilivyo kwa kiongozi yeyote. Matakwa na mipango ni mingi lakini utekelezaji lazima uzingatie rasilimali zilizopo wakati huoHivi ile tuzo alipewa ?
Nasikia kupitia TBC alisifiwa na Trump
Naulizia kuhusu ile ahadi za Laptop kwa kila mwalimu lini atatupatia au mpaka kwenye kampeni ya 2020 ndo tutapata majibu?
Kwa mafisadi, wabinafsi na wenye akili zinazotazama usawa wa pua, ndiyo wanaoona kuwa ni wa aina hiyo. Kwa wazalendo ni kinyume chake.Tuna Rais wa hovyo kupindukia