Raisi amesema watumishi ambao walisitishiwa madaraja yao tayari ameruhusu watumishi wapande madaraja vilevile ameahidi hulipa madeni yote halali ya watumishi nchini ameyasema hayo akiwa Meatu leo. 9/9/18
Hivi kupandisha watumishi madaraja,kunaleta tija ya uchumi?
Siku akipatikana kiongozi,kwanza akapunguza idadi ya mikoa,wilaya,vyeo,DED,DAS,aongeze kusomesha madakitari,na wahandisi,
Awekeze tekinolojia kwenye kilimo,ili tusinunue sukari,mafuta ya kula,mchele kutoka nje.
Mwisho apunguze matumizi ya serikali,badala ya kununua VX,V8,tununue RAV4s,malipo ya wabunge yapungue,200millions kwa Mbunge,ambaye jimbo lake halina huduma ya maji,ni dhambi kubwa kwa wananchi,walipwe kama watumishi wengine,