Rais Magufuli: Watumishi sasa kupanda madaraja

Rais Magufuli: Watumishi sasa kupanda madaraja

kitambiflat

Senior Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
163
Reaction score
228
Raisi amesema watumishi ambao walisitishiwa madaraja yao tayari ameruhusu watumishi wapande madaraja vilevile ameahidi hulipa madeni yote halali ya watumishi nchini ameyasema hayo akiwa Meatu leo. 9/9/18
 
Kama hapa au?
images-37.jpeg
 
Wewe ni hasara kweli! kwa wazazi, ukoo, ndugu, marafiki (kama unao),
Mara nyingi retired people wamekata tamaa nahuwawana siju zisizozidi 1000 tuwafukie. Ndio weee hapo.
 
Back
Top Bottom