Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,972
- 3,517
Kwa mwendokasi wa Dr. Magu ni ngumu kutambua anakotaka kuipeleka hii nchi. Watanzania wengi wameanza kuishi kama mashetani
Kitu kama kuna mtoto wa magu pale alikuwa anasoma hesabu na IT ngoja niyachambue majina nitaanika kila kitu soonHakuna mtoto Wa mkubwa pale 98% watoto wamaskini but sema magu alishajua nyege zenu zipo wp kwhyo ni rahis kuwafikisha watu kama nyie
Hii nchi mkanganyiko sana, serikali ilianzisha programme yenyewe, na ikafanya usahili yenyewe na wakijua fika wale vijana ni wa form four, wakawapatia nafasi leo hii mnawafukuza na kuwaita ni division 4 mara walipata zero, sasa mlipokuwa mnawafanyia usahili hamkujua hilo? serikali ingewaacha wakasoma hiyo course yao wakapata dip watakaofaulu vizuri wakaendelea na degree, sio sahihi kuwa mtu wa form four hawezi kusoma degree, kwani kunawatanzania wangapi wamemaliza form four wamekwenda Kenya kusoma degree?, ni wakenya wangapi wanaosoma nchi za nje tena vyuo vya maana kwa elimu ile ile ya kwao ya just form four tu wanajiunga na chuo na maisha yanakwenda? mistake kudanganya dunia kuwa elimu ya tz ni bora sana kuliko the rest of the world, kilichopo Tanzania ni utaratibu tu, culture kwamba chuo inatakiwa upitie form six kwanza, lakini sio lazima. Hapa serikali imekosea, imewapotea vijana muda na future zao, wajapan husema bila kujali wew umepita wapi ,umefikaje chuo, at the end we are looking for results only. Kama mtu wa form four kaenda chuo na kadeliver , kaajiliwa bado kadeliver vizuri that's all, mnataka nini tena? . Sawa utaratibu umekikwa lakini je nani kakiuka utaratibu huo? ni serikali au vijana hao, hataka ni watoto wa viongozi nani kawapeleka pale, hapa serikali ndo yenye makosa , lazima ikubali na iangalie jinsi ya kuwasaidia , na tuache kuwa na plan ya miaka miwili miwili, ni aibu ya karne taifa kubwa hatuna plan ya kudumu, kila siku tunakuja na plan za ajabu ajabu tu.
Magu hataki kusema ukweli kuwa hayuko tayari kuona vijana wanatumia mabilioni ya pesa toka kwenye serikali yake. Aseme tu kuwa hizo hela zitaenda wapi badala yake.safari bado ni ndefu mno kwa style hii. ili kuturidhisha wananchi, ni vyema wakaweka majina na alama walizopata mitihani ya form IV. kutuambia ni vilaza wakati walikua wanasoma masomo ya juu haituingii akilini.
Lakini kumbuka vigezo ni div. I, II, na III. Na wote waliochaguliwa wana sifa hizo. Kama yeye ni msema kweli aje na wale wenye four waliochomekwa, afanye kama alivyofanya kwenye sakata la wafanyakazi hewa shinyangaMkuu acha Magu atunyooshee elimu yetu, mchakatoa mzima wa kuchagua hawa vijana uliharibiwa na wajanja, watu walichomeka watoto na ndugu zao wasio na sifa ili tu wadake ajira. Wenye div 1 na 2 ni wachache, majority ni div 3 na 4 na hawa ndo anawaambia wakatafute vyuo vya size yao
Asije akanyooshwa yeye tu na hizi sera zake za kukurupuka. Credibility inaanguka kila kukicha kwa ukurupukaji wake.
kWA KWELI JIBU anao Mheshimiwa ama mtu ambaye alisha wahi kumwambia kuhusu suala hilo (kama aliingia kwa kuupenda ama la). Lakini kwa kuangalia namna alivyo chaguliwa kuiunga na Kidato cha Tano, utaona kuwa alisoma mchepuo ulio kuwa na somo la tatu ambalo ni Ualimu. Mengine yalikuwa Kemia na Bayolojia.Inawezekana kuwa alipenda kuwa mwalimu tangu akiwa Vidato vya chini ama "alilazimika" kusomea Ualimu kutokana na Masomo aliyosoma Vidato vya juu na Diploma ya Ualimu mara tu baada ya kumaliza kidato cha Sita. Alisoma CB (Ed). Wengi wa waliosoma Kidato cha tanao na Sita na Kuunganisha Diploma ya Ualimu, wakati huo, walikuwa HAWANA Mchepuo "Uliokaa vizuri", Kwa Mfano wanafuzni wa CB (Ed), hawakuwa wamefaulu vizuri somo la Fizikia, nk.Hebu tujiulize Magu ni mwalimu , je aliupenda au ndio yale ya BASHE ?
Nenda kacheki list mwenyewe. Wako na wa wakubwa kabisa. Siwezi kuyaweka majina yao hapa. Katafute mwenyewe.Tuwekeeni majina YA wanafunzi waliofukuzwa isiwe watoto wa maskini ndio gear ya kuridhisha mioyo ya hao anaowaita maskini! Duh Safari bado ni ndefu sana
Kilaza mkubwa na kilaza mdogo wote wanaitwa vilaza.Kama form four ni kilaza, yule aliyeishia la saba na la pili wataitwa kina nani?
Kwani huyo ni mtoto wa nani?http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM
Haya ni matokeo ya mtu kuingia chuo kikuu?
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
Mkuuu taratibu taratibu, usije fikiri huyu ni baba mwanaacha mzee wa msoga. Vijana wake wakipita hapa wanalala mbele na weweKabisa Mkuu miaka zaidi ya 14 kuanzia O level hadi Phd level ya kusoma kwa kiingereza halafu lugha haipandi. Tena si kiingereza tu bali hata Kiswahili chake ni kibovu. Ni kilaza wa kutupa.
Ni mtoto wa mwenye PHD anayewaita wenzake vilaza http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htmKwani huyo ni mtoto wa nani?
Kwi kwi kwi, tuseme ni moja ya sababu ya kukacha mikutano ya nje?Sasa mbona Magu hataki kusema ukweli kuwa yeye ni phd's holder ambae lugha aliyojifunzia miaka yote hiyo haipandi?
Kweli walitakiwa waondolewe kwa staha kidogo.pamoja na kwamba baadhi yao hawana sifa za kusoma program ile, bado sio sababu tosha ya kuwondoa kwa style ile. walipaswa kuondoka kwa utaratibu, maana sio wavamizi. waliwadahili wao wenyewe.
Uwekewe kwa lipi passmarks za wenzio!! Acha wenyewe waweke kuthibitisha vinginevyoMtuwekee majina yao na alama walizopata....form 4 isije kuwa JPM kalishwa chaka kama kawaida!