Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

mtu anaona kabisa hii nyumba kwa 85ml siwezi uza. Ila sababu sijajengea hela yangu na nimepiga cha juu ntauza hiyo hiyo. Nikiuza nisiuze poa tu.
 
Well said kaka
Nawapeni ushauri wa maana!
vike vijumba vyenu vya vyumba vitatu mkivotaka kuuza kwa Mil 85
ambavyo thamani yake ni 20M msihangaike kuviuza! Pangisheni, nasema PANGISHENI hata kwa laki 3 au 2 na nusu kwa mwezi! na mnaowapangisha kama ni watu binafsi walipe miezi sita sita au kama ni wa serikali basi akatwe kwa mshahara wakee kila mwezi!

Msilazimishe kuuza wapuuzi nyieeee! msirudie tena ujinga huoo wa kuuza!

kwanza kupangisha kutawaletea hela nyingi na kwa maisha yoteeee itakuwa ni mafaida tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?

kuna kitu kinaitwa ' specialization' ambapo kila kiongozi kuanzia waziri kushuka chini wanatakiwa kujikita katika sehemu zao za kazi na hata anapotoa ushauri anatoa ushauri wa eneo lako. ulitaka Magufuli atoe ushauri kwa kila kitu kwani alikuwa waziri mkuu ama makamu wa rais?

je, kama aliwahi kutoa ushauri binafsi kwa rais ama hata kupendekeza kwa baraza la mwaziri, wewe ungejuaje kafanya hivyo kama yanayojadiliwa kwenye baraza hilo ni siri na wanaokuwemo humo wameapa kuilinda?
Mkumbushe pia kwamba kuna kitu inaitwa collective responsibility kwenye serikali.
 
Hakika nimeifuatilia kwa umakini hotuba ya Mh.Rais na viongozi wa vyama vya wafanyakazi.Kati ya kero ni pamoja na viongozi wa mifuko ya hifadhi kutumia fedha za wachangiaji kuanzisha miradi kama wa DEGE Kigamboni mradi usio na tija zaidi kuhujumu mifuko.Mh.Rais kwa kuwa wahusika wapo ni bora Ukwachukulia hatua ili iwe fundisho kwa viongozi wengine wa Mifuko ya hifadhi.Pia ni vema Majengo yaliyojengwa DEGE yakapigwa mnada na fedha zikaingizwa kwenye mifuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?

kuna kitu kinaitwa ' specialization' ambapo kila kiongozi kuanzia waziri kushuka chini wanatakiwa kujikita katika sehemu zao za kazi na hata anapotoa ushauri anatoa ushauri wa eneo lako. ulitaka Magufuli atoe ushauri kwa kila kitu kwani alikuwa waziri mkuu ama makamu wa rais?

je, kama aliwahi kutoa ushauri binafsi kwa rais ama hata kupendekeza kwa baraza la mwaziri, wewe ungejuaje kafanya hivyo kama yanayojadiliwa kwenye baraza hilo ni siri na wanaokuwemo humo wameapa kuilinda?
Well said! Bravo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom