Rais Magufuli Uswahiba wako na Kagame unachefua

Rais wangu Magufuli

Natapika Nyongo
Ni ukweli usiopingika kwamba sisi kama TAifa hatuna maslahi yoyote katika nchi ya rwanda,sio kiuchumi,sio kiutamaduni na hata sio kisiasa

Hakuna ambachi tunaweza kuifunza kutoka kwa Kagame,sio uongozi,sio uzalendo wala sio ushujaa.

Hatuna hata uhusiana wa kibiashara wala wa kihistoria na Rwanda.In short Uhusiano wetu ni Rwanda hauwezi kuwa WIN WIN kama ambavyo wewe unasema kila mara.

Je tuseme nini?Je kuna siri gani kati yenu ninyi wawili.Kagame anafuata nini IKULU kwetu kila mara tena ziara za kikazi?umetuuza?Unafikiri unawez kutuuza?Mna mkakati gani dhidi ya taifa hili?

Tulizoe Kagame anakua Arusha kwa ajili ya kuwatatulia Migogoro yao ya ICTR ila hii mambo ya yeye kuja kuja ikulu kama vile ni Ikulu yake binafsi inanichefua.Anafuata nini.

Mwaka 2020.Tutakubwaga kwenye sanduku la kura.Hatuwezi kuwa na Rais ambaye anajenga mahusiano ya kidiplomasia na viongozi wa aina ya Kagame.Tunataka mahusiano yenye tija,faida na manufaa kwa wananchi.

Kama una wajumbe wako humu JF wakwambie kabisa.SISI vijana watanzania wazelendo tunataka kujua kwa kina Rais wetu una mambo gani na Kagame

Nimemaliza.

Najua MOds mtafuta huu uzi kwa sababu ya uzandiki.Ila hamtafuta hisia na fikra za watanzania wazalendo.

Usiku mwema
UMECHELEWA SANA MKUU!

Ikulu inaonekana kama sebureni tu mbele ya KAGAME, kifupi vijana wa kagame wapo wengi mno mpaka vitengo nyeti 'UHAMIAJI"

huyu jamaa kafaulu kumtia MFUKONI RAIS wa nchi moja hapa East Africa " sleeping Giant"

so kifupi Tupo Uchi .

Kikinuka Rwanda anahitaji wiki tu,

Tutapiwa na hako kamkoabmpaka tunachakaa! we are naked! Mr slim knows so many things about us🤓😢😢😲
 
Back
Top Bottom