Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Akisafiri kwa barabara usalama unaongezaka na inakuwa jambo zuri hata kwetu sisi raia maana vitendo vya utekaji vinakuwa havipo
 
Watanzania, bwana...kazi kwelikweli, yaani wanajua kila kitu...Hivi wewe unadhani RAIS anakurupuka tu kusafiri?! Itabidi utafutwe ili utoe ufafanuzi zaidi uwasaidie PSU kuhusu masuala ya ulinzi.
unaongea usichokijua mara ngapi wanausalama wanamshauri hasikii mfano wakati anatoka Dodoma kuhutubia bunge kulazimisha kupanda,gari lisilo na vioo tinted ili watu wamuone aliambiwa lakini akabisha
 
Hoja yako ni sawa. Ila kutembea anajionea nchi yake ilivyo. Huenda akaona jibu huko machakani.
 
Si anataka sifa hili watu waone anabana matumizi? Ila yote yanawezekana mchana kula ugari na nyanya chungu, (si wote tunaona?) usiku (tukilala) ukala wali kuku! Hapa kazi tu!
Mkuu sentensi yako ya mwisho ni kama unachekesha hivi....lakini kuna Ujumbe mzito sana!!!!!!!!!!!

wachache wataelewa hiyo kauli
 
Mambo mengne yapo juu ya uwezo wako huwez na hutoweza kuyajua mpaka unaenda kaburin..

Suala la ulinzi na usalama kwako ww ni sawa na mtu aliyehai kuelezea yalio ndan ya umauti..

Ww bwabwaja tu hapa jf lakn wapo wenye nchi hii ambao kila nukta inayopita wanajua yote yanayotokea na yatakayo tokea
 
hehee huyu jamaa yenu anacheza nadhani gharama zinaongezeka pia
 
Mizimu ya chato ndiyo walinzi wakubwa hupeleka taarifa zote usingizini hata kukiwa na kitu kibaya humletea usingizi wa ghafra na lumpatia picha lote. Wenye ubaya wakijificha msituni lazima cobra na koboko watawapitia kabla Magufuli hajakatiza hapo , Ujue Sasa ile style Ulinzi wa Rais wa Gambia imeletwa hapa na akina January Makamba nyumbani kwake kuna Utitiri wa kamati za Ufundi za kila Aina , hata wale waliochakachua matokeo ya uchaguzi bado wapo wametumika Zanzibar kuwatuliza wapemba mpaka wakaogopa kufanya Yale ya 1995 .
 
Mizimu ndiyo walinzi namba moja wengine wanafuatia.
 
Ni hatari kwa umbali huo kusafiri kwa njia ya barabara hasa ukanda huo ambao una matukio ya utekaji wa Mara kwa Mara
Labda nikupe mwanga kidogo kuwa kabla hata ya safar hii kutangazwa secret service walishaitambua zaman sana kwahyo walishaifanyia kazi zaman sana mashushu walishatapakaa kitambo sana mpaka wanatangaza juzi wao wamehakiki kuwa ni salama japo ww uliyegizan ndio unatoka povu sasa hivi
 
Mtoa mada kuna point unayo hasa kwa sisi wajuvi wa mambo ya kiusalama ila wengi hawajajua nini unamaanisha
Mtoa mada ameeleweka vizuri sana lakini utambue Ulinzi wa Mizimu nao wanajua upo imara ndiyo maana wanakatiza misituni bila kwele.
 
Wewe ni kati manungayembe namba moja humu jamvini. Watu wanazungumza sensitive issues wewe unaleta upuuzi wa kishenzi hapa.

Dadavua mleta mada ana technical faults zipi, sio kuleta njaa za buku 7 hapa!
Nyinyi ndio wapuuzi na wajinga kujifanya washauri kwa mambo msio yajua
 
Mtoa mada ameeleweka vizuri sana lakini utambue Ulinzi wa Mizimu nao wanajua upo imara ndiyo maana wanakatiza misituni bila kwele.
Raisi hulindwa na walinzi wanaoonekana na wasioonekana.Wasioonekana ni wengi kuliko wanaoonekana.Hapa naona wengi wanaongelea tu ulinzi unaoonekana!!!!!
 
Mkuu hao peke Yao bila nguvu za Mizimu hawawezi kupambana na watu wa kazi pindi wakiamua kuleta Majanga , walinzi wakubwa wasioonekana kwenye macho ya kawaida ndiyo wanafanya kazi kubwa, kumbuka Kipindi cha Nyerere alikuwa akibadili njia ghafra na hata alipofika sehemu watu wote miili iliwasisimuka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…