Rais Magufuli unatufanya CCM tuonekane kama wafuata mkumbo

Mwenyekiti watu Ndugu John Pombe ametufanya CCM tuonekane kama watu wasijitambua.

Pale serikali au rais anapotoa tamko sisi CCM tunajikuta kutokana na mahaba ya chama chetu tunaliunga mkono. Hili ni suala la kawaida hata kama kimoyomoyo huungi mkono lakini mitandaoni na kwenye media na vilingeni huna budi kutoa povu kuunga mkono tamko na maagizo kutoka juu.

Hivyo ndivyo wamekuwa akifanya hata karibu wa uenezi Comrade Polepole Hamphrey. Tunaunga mkono matamko ili kumtia moyo rais watu. Hivyo kwenye mitandao inakuwa vurugu "Safi sana rais watu,hapa kazi tu,tumbua baba tumbua......"

Lakini kesho yake linapokuja kanusho au kutengeua kauli ya jana inabidi tena tuiunge mkono kibandidu bila kujali kama ili ya jana ambayo kimsingi inakinzana na ya leo tuliiunga mkono.......Mh.Rais unatudhalilisha sana,tunachekwa

Mfano mzuri ni ifuatayo:-
1. Suala la Msanii Ney wa Mitego
Mwanachama wako tulilipuka kukuunga mkono tuliposikia nyimbo ile imekatazwa. Tumekesha kwenye mitandao tukibushana. Jana umeruhusu wimbo upigwe,tunalazimika tena kuunga mkono tamko lako,sasa hapa ndio tunapoonekana makondoo

2. Suala la Vyeti vya kuzaliwa kwa wanandoa
Tamko lilipotolewa na Dr.Mwakyembe hatukuwa na budi kuliunga mkono,maana tuliamini unasema wewe kupitia waziri. Kesho umetengua kauli hivi tuliounga mkono tunaficha wapi sura zetu?

Kifupi mkuu rais tutakunyamazia. Watu tunalazimika kuwa na ID mbilimbili kwenye mitandao,ya kuunga mkono kauli ya jana na ile ya kuunga mkono tamko la kukanusha lile la jana

Muonee huruma mwenezi Humphrey Polepole anavyodhalilishwa kwenye TV kutetea matamko yanayokinzana........Haiwezekani leo unasema 1+2=3, kesho unasema hapana 1+2=12 halafu unataka majibu yote tuyaunge mkono
Na ndiyo mkome kuwa vimbele front
 
Sio anawafanya muonekane.

Sema "sisi ni wafuata mkumbo".
 
Muonee huruma mwenezi Humphrey Polepole anavyodhalilishwa kwenye TV kutetea matamko yanayokinzana........Haiwezekani leo unasema 1+2=3, kesho unasema hapana 1+2=12 halafu unataka majibu yote tuyaunge mkono

Umenifanya nicheke sana,, Kama umemaanisha ulichoandika, Pole sasa ndugu yangu ,ni kweli Jamaa anawatesa sana
 
Mheshimiwa Kinana akiongea katika Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere kilichofanyika Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam, Tanzania Oktoba 2016.
asante maana nilitaka kushangaa kama Angekuwa ameongea karibuni baada ya jamaa kuanza kutema cheche
 
hyoo nambaa 1 eti inawafanya muonekanee makondoo ...yaan nyiee n makondoooo haswaaaa...
 
Umemjibu vizuri sana huyo pun
Kwa hiyo shida yako nini,au hujaelewa mada?tumia akili,ni mjinga pekee ambaye hawezi kusahihisha misimamo yake,au tuseme ulivyofikiria juzi ndivyo unavyofikiri leo haya kama fikra za juzi hazikuwa sahihi.

Mbona wakati kina Lowasa wanakula nchi hatukuwa tunamsikia Magu akiwaka kama leo na wamekuwa kwenye baraza 20yrs na hakujiuzuru?
Ndio maana tunawadharau
Umemjibu vizuri sana huyo punguani. Moja ya kanuni kubwa ya critical thinking ni flexibility. Na sio kuwa rigid. Critical thinker ni mtu ambaye yupo taysri kubadili msimamo anapokabiliana na hoja imara zaidi! Critical thinker ni mtu ambaye anajua kwamba kile tunachoamini leo kwamba ni kweli kinaweza kugeuka kuwa uongo kesho! Kwa hiyo critical thinker anachukua msimamo fulani na kuushikilia as long as huo msimamo bado unafaida lakini anaachana na msimamo huo pindi akigundua kwamba huu msimamo hauna faida in the long run. Hivyo kubadili msimamo si jambo la ajabu hasa unapogundua msimamo wako haukusaidii!
 
Mwenyekiti watu Ndugu John Pombe ametufanya CCM tuonekane kama watu wasijitambua.

Pale serikali au rais anapotoa tamko sisi CCM tunajikuta kutokana na mahaba ya chama chetu tunaliunga mkono. Hili ni suala la kawaida hata kama kimoyomoyo huungi mkono lakini mitandaoni na kwenye media na vilingeni huna budi kutoa povu kuunga mkono tamko na maagizo kutoka juu.

Hivyo ndivyo wamekuwa akifanya hata karibu wa uenezi Comrade Polepole Hamphrey. Tunaunga mkono matamko ili kumtia moyo rais watu. Hivyo kwenye mitandao inakuwa vurugu "Safi sana rais watu,hapa kazi tu,tumbua baba tumbua......"

Lakini kesho yake linapokuja kanusho au kutengeua kauli ya jana inabidi tena tuiunge mkono kibandidu bila kujali kama ili ya jana ambayo kimsingi inakinzana na ya leo tuliiunga mkono.......Mh.Rais unatudhalilisha sana,tunachekwa

Mfano mzuri ni ifuatayo:-
1. Suala la Msanii Ney wa Mitego
Mwanachama wako tulilipuka kukuunga mkono tuliposikia nyimbo ile imekatazwa. Tumekesha kwenye mitandao tukibushana. Jana umeruhusu wimbo upigwe,tunalazimika tena kuunga mkono tamko lako,sasa hapa ndio tunapoonekana makondoo

2. Suala la Vyeti vya kuzaliwa kwa wanandoa
Tamko lilipotolewa na Dr.Mwakyembe hatukuwa na budi kuliunga mkono,maana tuliamini unasema wewe kupitia waziri. Kesho umetengua kauli hivi tuliounga mkono tunaficha wapi sura zetu?

Kifupi mkuu rais tutakunyamazia. Watu tunalazimika kuwa na ID mbilimbili kwenye mitandao,ya kuunga mkono kauli ya jana na ile ya kuunga mkono tamko la kukanusha lile la jana

Muonee huruma mwenezi Humphrey Polepole anavyodhalilishwa kwenye TV kutetea matamko yanayokinzana........Haiwezekani leo unasema 1+2=3, kesho unasema hapana 1+2=12 halafu unataka majibu yote tuyaunge mkono
Boban muogope Mungu kwa kutunga uongo,kwanza wewe si mwana CCM kama unavyodai na hayo uliyoyaandika ni ya kwako,usiwalishe watu maneno ,peleka mahaba yako hukohuko Chadema
 
Na ndio maana nchi haipigi hatua katika mikakati yake, maana wananchi hawana msimamo wao.
 
Back
Top Bottom