Rais Magufuli unatufanya CCM tuonekane kama wafuata mkumbo

Wewe jamaa huna aibu, nakumbuka 2015 ulikua mmoja ya watu waliokuwa wakimtukana sana lowasa na ulifikia kusema kama lowasa akiamia Chadema utaacha kushabikia siasa. sasa napatapicha kwanini nchi hii baadhi ya vijana mnatumika kama toilet paper.
Kwa hiyo shida yako nini,au hujaelewa mada?tumia akili,ni mjinga pekee ambaye hawezi kusahihisha misimamo yake,au tuseme ulivyofikiria juzi ndivyo unavyofikiri leo haya kama fikra za juzi hazikuwa sahihi.

Mbona wakati kina Lowasa wanakula nchi hatukuwa tunamsikia Magu akiwaka kama leo na wamekuwa kwenye baraza 20yrs na hakujiuzuru?
Ndio maana tunawadharau
 
Umesahau na vyeti feki, watumishi wengi wenye vyeti feki wamefukuzwa kazi ila makonda amempongeza kwa kazi nzuri, as if hao wengine walikuwa hawafanyi kazi vizuri.
 
huyu ni team wema aka ukawa alafu gafla kageuka kuwa ccm.....ajabu zaidi nyumb. wanashangilia!
Ndio u-Bashite mwenyewe huu,wewe shida yako mm kuwa ccm au ni mantiki ya hoja,kwa hiyo akileta hii mada Polepole utaunga mkono,akibadili ID utasimamia wapi
 
Wewe jamaa huna aibu, nakumbuka 2015 ulikua mmoja ya watu waliokuwa wakimtukana sana lowasa na ulifikia kusema kama lowasa akiamia Chadema utaacha kushabikia siasa. sasa napatapicha kwanini nchi hii baadhi ya vijana mnatumika kama toilet paper.
Ukitaka kujiridhisha namna nyumbus walivyowengi ni namna team wema (chadema) walivyobadili gia hewani na bado tukio hilo likaungwa mkono!
 
Mleta uzi umewatafakarisha vyema wenzio wa Lumumba st. Poleni na matamko kinzani yanawayumbisha kuanzia moyo hadi sura na yanayowaongezea uzuzu.
Mwambieni na hili, watendaji walio chini yake wamemsusia kazi japo wapo kimwili ofisini ila mioyo yao na akili zao wameziacha wanakokujua.
Haiwezekani afanye ziara mahali Fulani bila kuwa na taarifa za kina juu ya eneo hilo. Wanamlisha matango pori kila uchwao. Ona la bandari lilivyokuwa tata. Kila mmoja anasema lake. 90% ya mchanga kuwa dhahabu na mwenye magari kuwekwa mahabusu wiki tatu zilizopita kisha wiki ya tatu unaukamata mzigo wake. Kuna jambo hapo bandarini.
Pia awaambie suala la vyeti limekwishaje.
 
Mwenyekiti watu Ndugu John Pombe ametufanya CCM tuonekane kama watu wasijitambua.

Pale serikali au rais anapotoa tamko sisi CCM tunajikuta kutokana na mahaba ya chama chetu tunaliunga mkono. Hili ni suala la kawaida hata kama kimoyomoyo huungi mkono lakini mitandaoni na kwenye media na vilingeni huna budi kutoa povu kuunga mkono tamko na maagizo kutoka juu.

Hivyo ndivyo wamekuwa akifanya hata karibu wa uenezi Comrade Polepole Hamphrey. Tunaunga mkono matamko ili kumtia moyo rais watu. Hivyo kwenye mitandao inakuwa vurugu "Safi sana rais watu,hapa kazi tu,tumbua baba tumbua......"

Lakini kesho yake linapokuja kanusho au kutengeua kauli ya jana inabidi tena tuiunge mkono kibandidu bila kujali kama ili ya jana ambayo kimsingi inakinzana na ya leo tuliiunga mkono.......Mh.Rais unatudhalilisha sana,tunachekwa

Mfano mzuri ni ifuatayo:-
1. Suala la Msanii Ney wa Mitego
Mwanachama wako tulilipuka kukuunga mkono tuliposikia nyimbo ile imekatazwa. Tumekesha kwenye mitandao tukibushana. Jana umeruhusu wimbo upigwe,tunalazimika tena kuunga mkono tamko lako,sasa hapa ndio tunapoonekana makondoo

2. Suala la Vyeti vya kuzaliwa kwa wanandoa
Tamko lilipotolewa na Dr.Mwakyembe hatukuwa na budi kuliunga mkono,maana tuliamini unasema wewe kupitia waziri. Kesho umetengua kauli hivi tuliounga mkono tunaficha wapi sura zetu?

Kifupi mkuu rais tutakunyamazia. Watu tunalazimika kuwa na ID mbilimbili kwenye mitandao,ya kuunga mkono kauli ya jana na ile ya kuunga mkono tamko la kukanusha lile la jana

Muonee huruma mwenezi Humphrey Polepole anavyodhalilishwa kwenye TV kutetea matamko yanayokinzana........Haiwezekani leo unasema 1+2=3, kesho unasema hapana 1+2=12 halafu unataka majibu yote tuyaunge mkono
Acha kujifanya mwana-ccm wewe. Tangu lini ukawa mwana ccm. Unyumbu umekushinda? Njoo hapa Lumumba uchukue bendelea ya kijani ili uwe mwana ccm.
 
Acha kujifanya mwana-ccm wewe. Tangu lini ukawa mwana ccm. Unyumbu umekushinda? Njoo hapa Lumumba uchukue bendelea ya kijani ili uwe mwana ccm.
Jamaa katoa kauli wakilishi....
Ina kiima...
Ina kiarifu...

Ahahahahahahaaa

Kwani wewe una ID ngapi? maana kwa hali halisi kutumia ID moja kutetea kauli kinzani lazima uonekane hamnaxo
msiniambie na hizi ni id nyingine ya mleta uzi
 
KINANA AMCHANA MAGUFULI | KIONGOZI MZURI ANAYEWASIKILIZA WANANCHI WANATAKA NINI - AKUBALI USHAURI


Source: BongoMikasaTV
 
Back
Top Bottom