Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

Watu wengi mnadhani mnamjua JPM. Ndo kosa lenu.
Kila mtu ana mapungufu yake, kwa hiyo nataka kuanza kwa kusema kuwa Bashe hatakosa yake.

Ila, katika wabunge ambao kila wakisema bungeni naona wanachangia vizuri sana, kwa data na kujiandaa, wakieleza mambo ya msingi, Bashe anachukua nafasi ya juu sana katika list hii.

Tatizo sisi tunafanya siasa za makundi, na Bashe lazima acheze backbench kwa sana utawala huu, kwa sababu yeye ni "team Lowassa".
 
Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.

Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.

Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.

Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.

Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.

Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.

Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.

Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.

He is too outspoken na apunguze unywanywa.
Anajisahau sana.Ila nadhani sasa atapunguza unywanywa na kupayuka baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Wizara ya Kilimo.
 
Mawazo mazuri na mkuu kayafanyia kazi,JF idumu milele.
 
5aa9544f-f81c-4842-bf07-35e878d4e876.jpg
 
Mawazo mazuri na mkuu kayafanyia kazi,JF idumu milele.
Yeah, JF idumu milele kwa wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu. Asante Mkuu kwa support ya mchango wako.

Nimefurahishwa sana na uamuzi wa Rais wetu mpendwa kwa kitendo chake cha kumteua Mheshimiwa Bashe. Nafikiri Naibu Waziri Bashe sasa atatuthibitishia yale aliyo kuwa akiyapigia kelele Bungeni kwa kudhani kwamba Rais atekelezi hayo mambo ipasavyo.

Nafasi anayo sasa ya kuwa mfano bora kwa vijana wetu kama Mawaziri Jafo, Biteko na Kigwangala kwa jinsi walivyo fanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa.

Namwombea aendelee vile vile kuchangia hoja zake in a constructive manner na aonyeshe kidole pale ambapo ataona marekebisho yanahitajika.

Zaidi ya hayo ninampongeza Rais wetu Dr John Pombe Magufuli kwa dhati kabisa na kumshukuru kwa uamuzi wake huu wa kumteua kijana wetu ambaye watanzania wengi waliona jinsi gani damu yake ilikuwa inachemka kwa kutaka kushiriki katika nyazifa za kimkakati wa kuleta maendeleo ya taifa letu. Hawa ndiyo vijana ambao Tanzania ina wahitaji, ambao wako tayari kushirikiana na Jemedari wetu kuuondoa umasikini wetu na sio wanafiki kama akina Nape.

Kwa hilo kusema kweli nakushukuru sana Rais wetu mpendwa kwa kuwashirikisha wazalendo wenzako wengi ambao kwa mda mrefu wamekuwa wakishirikiana na wewe katika kutoa mchango wao kimaombi kwa kumpa kijana wetu huyu nafasi ya kukusaidia katika harakati zako za kulijenga Taifa letu kimaendeleo.

Asante sana Rais wetu. Asante sana na Mungu aendelee kukupa uzima na nguvu ya kuwaletea watanzania maendeleo.

Magufuli Oooooooooyeeeeeee!
 
Bashe ni mzuri na anautendea haki ubunge wake, wananchi wa jimbo lake na watanzania wote. Bado naamini michango yake kama mbunge ikiwa serikali itazingatia itakuwa na faida kubwa kwa Taifa. Tatizo kuwa waziri ukiwa muoga utageuka kuwa mtetezi wa maovu hata kama yapo wazi.
Kwa kumsilimisha bashe ametengeneza kanda ya utawala inaanzia tabora,singida
 
Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.
Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.
Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.
Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.
Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.
Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.
Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.
Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.
Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.
hapo alipo panafaa sana kwake na kwetu pia,akienda huko juu kwenye uwaziri hutamsikia tena akitoa hoja zake hizo bila woga.
 
Watu wengi mnadhani mnamjua JPM. Ndo kosa lenu.
Hakuna yeyote anayemjua yeyote, tunandika kwa uzoefu.
Watu wanaishi na wake zao miaka na miaka na hawajui kwamba wake wana watoto wa "nje", itakuwa Magufuli mtu wa kumsoma magazetini?

Pia, kumjua mtu inahitajika huyo mtu awe na consistency.Nyerere alikuwa na consistency, kwa sababu alielewa anataka kufanya nini. Kama alichotaka kufanya ni kizuri, alifanikiwa au hakufanikiwa, hayo ni mambo mengine.

Magufuli kumjua ni ndoto, kwa sababu hana consistency na sijui hata kama yeye mwenyewe anajua anataka kufanya nini.Mara anatukana wastafu waliomtangulia, mara anaongelea umuhimu wa kuwa na fadhila kwa watu waliokusaidia kufika ulipo.

Mara anasema anapiga vita rushwa, mara anasema ukimpa traffic police kitu kidogo ni hela ya brush ya viatu tu!

Amejaa contradictions, sasa mtu anayesema anamjua, atamjua wapi wakati mtu mwenyewe kajaa contradiction?

Na kama sharti la kuandika hapa ni kumjua mtu vizuri, hakuna atakayeandika lolote kuhusu yeyote.

Hizi ndizo calculations zilizoendelea.

Laowassa karudi kundini. Bashe ni team Lowassa, anarudishwa kundini.

Zaidi, Bashe akiwa kundini atanyamazishwa vizuri zaidi kwa "collective responsibility".

Zaidi kabisa, Magufuli si kwamba haoni watu wanaoshusha nondo kama Bashe, anawaona, tatizo linakja anapojiweka yeye kujua kila kitu.Tatizo linakuja kwenye mfumo huko kutumia ushauri in a comprehensive way.

Kumteua Bashe kuwa junior minister ni kazi ndogo, kufanyia kazi mawazo yake ambayo yanaonesha udhaifu serikalini ni kazi kubwa.
 
Bashe amefanyia kazi zile semi za 'mtumikie kafir upate mradi wako' na 'ukienda Roma ishi kama wa Roma'....sasa yupo mezani ametulia tuli anachapa zake pork chop kwa kwenda mbere.
 
Back
Top Bottom