Rais Magufuli umesimamisha ajira lakini fedha za kikao cha Dodoma kesho kutwa unatoa wapi?

NANGA WA KWATA

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
347
250
Hii nchi siielewi kabisa kusimamisha ajira kwa muda usiojulikana na kuruhusu mikutano ya CCM kutumia gharama kubwa za pesa hii ni hatari kwa taifa labda niseme tu kwanini walioajiriwa mwezi wa tano mwaka huu serikali imewarudisha nyumbani kada mbalimbali mfano.

Afya ,mahakama,halmashauri kuu,mikoani,nk.

Je Pesa za kukodisha guest za kulala wajumbe wa mkutano mkuu CCM zimetoka wapi???

Wakati ajira mmesimamisha mkidai uhakiki kwanini hata mkutano wenu wa CCM msingeusimamisha kwa sababu ya zoezi muhimu la uhakiki??

Hao walioajiriwa mwezi wa tano wa huu mmewafanyia unyama sana kuwarudisha nyumbani bila kufata taratibu za kazi, serikali badilikeni 2020 kazi mnayo maana mnatuona sisi hatufai.
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,142
2,000
HII NCHI SIIELEWI KABISA KUSIMAMISHA AJIRA KWA MDA USIOJULIKANA NA KURUHUSU MIKUTANO YA CCM KUTUMIA GHARAMA KUBWA ZA PESA HII NI HATARI KWA TAIFA LABDA NISEME TU KWANINI WALIOAJIRIWA MWEZI WA TANO MWAKA HUU SERIKALI IMEWARUDISHA NYUMBANI KADA MBALIMBALI MFANO.AFYA ,MAHAKAMA,HALMASHAURI KUU,MIKOANI,NK.JE?PESA ZA KUKODISHA GUEST ZA KULALA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM ZIMETOKA WAPI???WAKATI AJIRA MMESIMAMISHA MKIDAI UHAKIKI KWANINI HATA MKUTANO WENU WA CCM MSINGEUSIMAMISHA KWA SABABU YA ZOEZI MHIMU LA UHAKIKI??HAO WALIOAJIRIWA MWEZI WA TANO WA HUU MMEWAFANYIA UNYAMA SANA KUWARUDISHA NYUMBANI BILA KUFATA TARATIBU ZA KAZI SERIKALI YA CCM BADILIKENI 2020 KAZI MNAYO MAANA MNATUONA SISI HATUFAI

JAMANI UKAWA TUWE MAKINI.HIVI HATUJUI CCM WANA ASSET KIASI GANI?RUZUKU JE?HALAFU HII KIKAO INAKAA KILA BAADA YA MIAKA MITANO
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,164
2,000
Magufuli hana jeuri ya kubana matumizi kwa wana lumumbaaa, maana hawa lumumbaz ni walafi warohoooo wabinafsi wanajali maslahiii yao tu...

Mikwara ya kubana matumizi atawabana wafanyakazi wa serikalini tu na watendaji wa Kati....angekuwa na nia na dhati angefutiliaa mbali mbiooo za mwenge maana garama zake huwa mpaka bln 500 alafu faida hakunaa zaidi ya kueneza ngomaaaa

angaliaa kwenye mikeshaaa ya mbio za mwengeee asubuhi kondo..... Kibaoo zimetapakaaa chiniii
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
8,728
2,000
LOGIC NI KWAMBA KWQNINI WASINGEAHIRISHA KIKAO CHAO ILI WATEKELEZE ZOEZI MHIMU LA UHAKIKI
Wana Ccm ndio wanaofanya hilo zoezi la uhakiki? Mbona unatia aibu, halafu unaandika kwa kujiamini kana kwamba unauelewa kumbe hamna kitu,
Ccm wana pesa zao na hazina uhusiano na fedha za serikali halafu wewe unatokwa povu kibao kuhoji pesa zao, halafu ujue hilo zoezi la uhakiki haliendeshwi na wanachama wa ccm, kuwa muelewa
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,233
2,000
HII NCHI SIIELEWI KABISA KUSIMAMISHA AJIRA KWA MDA USIOJULIKANA NA KURUHUSU MIKUTANO YA CCM KUTUMIA GHARAMA KUBWA ZA PESA HII NI HATARI KWA TAIFA LABDA NISEME TU KWANINI WALIOAJIRIWA MWEZI WA TANO MWAKA HUU SERIKALI IMEWARUDISHA NYUMBANI KADA MBALIMBALI MFANO.AFYA ,MAHAKAMA,HALMASHAURI KUU,MIKOANI,NK.JE?PESA ZA KUKODISHA GUEST ZA KULALA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM ZIMETOKA WAPI???WAKATI AJIRA MMESIMAMISHA MKIDAI UHAKIKI KWANINI HATA MKUTANO WENU WA CCM MSINGEUSIMAMISHA KWA SABABU YA ZOEZI MHIMU LA UHAKIKI??HAO WALIOAJIRIWA MWEZI WA TANO WA HUU MMEWAFANYIA UNYAMA SANA KUWARUDISHA NYUMBANI BILA KUFATA TARATIBU ZA KAZI SERIKALI YA CCM BADILIKENI 2020 KAZI MNAYO MAANA MNATUONA SISI HATUFAI

mkuu, punguza sauti kidogo basi...
 
Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
4,096
2,000
Tufike wakati ushabiki tuweke pembeni.

Siku zote mtu mwenye hekima na busara huwa hajifikirii yy mwenyew huwa anafikiria na watu wengine.

Sawa hata km ww ulikunywa maji ya bendera, tena ukaapishwa na kubatizwa na maji hayo hayo bendera ifike wakati useme no na sio kusapport kila jambo hata km ni baya ww NDIYO.

Yes! Najua mr & miss NDIYO wapo weng ila tutumie busara na hekima.
Nikuulize maswali kadhaa

1. Km ww ni miongoni wa wale wanaofunzi 7000 waliofukuza UDOM, Ungeshangilia walipofukuzwa?

2. Km ww ni miongoni wa watu wanaosubiria ajira ungekaa kimya huku raisi anaajiri watu kila kukicha akiwemo kiongoz wa T.L.P?

Tufike wakati tusiseme NDIYO hata km ni boss wako ofisini kasema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom